Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano.
Taifa...
Karibu.
Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.
Up dates;
Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma pamoja na uchaguzi wa madiwani katika kata 18 za Tanzania Bara...
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri...
Mathayo 11:2-26
Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah...
Bandugu,
Zulia jekundu ni zulia ambalo limezoeleka kutumika katika shughuli maalumu. Kwa shughuli za serikali, hili hutumika kwenye hafla za kitaifa na kunapokuwa na ugeni kutoka nje.
Katika...
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake...
Na Deogratias Mutungi
Nianze kwa kusema nia na dhumuni ya makala haya ni pana kimantiki na inalenga kuonyesha mitizamo ya mbali kisiasa aidha inajikita katika uchambuzi unaoegemea fungu la upande...
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua...
Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28.
Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM...
Waziri wa fedha aliyeweka rekodi ya kukaa kwenye uwaziri kwa kipindi chote cha miaka mitano ya rais Magufuli, wakati akihitimisha kusoma bajeti kuu ya serikali ametangaza kugombea ubunge kwenye...
Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali
Ni kaa la moto!
Hakuna mtu anaetaka kuligusa.
Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba...
Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais?
Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya...
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu...
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.
Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna...
Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa.
Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia...
Wanabodi,
Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana...
Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.