Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Queen Cuthbert Sendiga kesho saa nne kamili katika makao makuu ya chama Buguruni Rozana . Mnakaribishwa wote.
MGOMBEA urais wa chama cha ADC, Queen Sendiga adai kupigwa makofi na watu wasiojulikana na kuvunjiwa kioo cha gari lake akiwa katika maeneo ya stendi kuu ya zamani ya Manispaa ya Iringa kuendelea...
Mgombea Urais wa JMT kupitia Chama cha ADC, Queen Cuthbert Sendiga amepiga kura katika Kituo cha Ununio jijini Dar es Salaam ambapo amesema amejiandaa kwa namna yeyote.
Amesema, "Nikishinda...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga ameendelea leo na Kampeni zake baada ya siku tatu za mapumziko ambazo alizitumia kufanya media tour jijini Dar es...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao...
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama...
Jeshi la polisi Mkoani Dodoma limesema limejipanga kwa vizuri kwa wale wote watakaokuwa na nia ovu ya kufanya vurugu na kuhatarisha amani katika kampeni za Vyama mbalimbali za Siasa.
Akizungumza...
Nimesikiliza mahojiano baina ya Mtia nia wa kugombea uraisi wa Chadema ndugu Nyalandu na kituo cha redio cha wasafi.
Nyalandu ameulizwa swali kuhusu Twiga waliokuwa wakitoroshwa nje ya nchi kwa...
Benki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa...
Sasa ni rasmi, ubwabwa kutolewa wakati wa kampeni ni rushwa kwa wapiga kura.
TAKUKURU imetamka rasmi kuwa kuwapa watu ubwabwa, wale wanaovutwa kuja kwenye kampeni za Hashim Rungwe, ni moja ya...
Salaam Wakuu,
Leo chama cha cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) , kinazindua Kampeni zake Manzese Dar Es Salaam.
Leo Asubuhi Mgombea Urais wa CHAUMA aliwalalamikia TAKUKURU kwa kumzua kupika Ubwabwa...
Nimejaribu kuangalia jinsi Nyalandu alivyojipanga na hii kasi ya kutia Nia lakni naona makada wapo kimya sioni ata comment hasa kwa wabunge wa Chadema na makada wengine wakongwe
CHADEMA kina...
Leo kishindo cha awamu ya tano kitakuwepo uwanja wa Sabasaba Kambarage ambapo mgombea wa CCM, Dkt. John Pombe Mafufuli atakuwa jukwaani kunadi sera zake.
Dkt. Magufuli: Miaka 5 haitoshi, nipimeni...
Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum.
Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma kufanya hivyi kwa muda mrefu lakini msukumo zaidi uliniingia jana...
Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais...
Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika...
Kwa Watanzania wenye akili timamu mtakubaliana nami kuwa miaka 5 ya awamu hii ya 5, kimekuwa kipindi kigumu sana kilichojaa;
Hofu
Mashaka
Umasikini uliotopea
Ombwe la kiuongozi nk.
Watanzania...
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu...
Wanabodi, ni ukweli usiopingika vijana waliohitimu vyuo kati ya mwaka 2014 na 2020 wamepata elimu na wameajiriwa kila kona ya nchi hii na duniani kwa ujumla.
Bongo kama ulaya inayoonyeshwa na TBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.