Wanabodi,
Wananchi hawashibi barabara, ndege, madaraja au hospitali. Wananchi wanahitaji chakula na pesa mwaka huu 2020. Hili chama changu cha CCM ndio tunapaswa kulihubiri kwenye kampeni...
Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao...
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP...
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.
Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa...
Kuna wakati nasoma baadhi ya nyuzi natambua 100% zimeandikwa na watu wakiwa na nia ya kudhihaki upinzani au akili zao huenda zina hitilafu.
Naamini hata wewe unajua hakuna mtu anayekubalika kwa...
Wanaukumbi!
Lissu alikuwa wapi siku zote hadi aje sasa kusema hivi?
Kwa nini anamzushia Mh Rais mambo ya hovyo,uongo na uzandiki mkubwa namna hii?
Rais kikwete aliwahi kusema CHADEMA...
1. Kawe: Namuonea huruma sana Halima Mdee (Gwajima hapendwi lakini ndio mbunge mtarajiwa)
2. Vunjo: Kimei sio mwanasiasa ila alienda pale kwa kuelekezwa tu upinzani unapitaje?
3. Moshi Mjini...
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati...
Sijui ni kutokujielewa…sijui ni ujinga…sijui ni kutokujua unataka nini…sijui ni kutokujua kuwa hujui…sijui ni nini hasa!
Manake sielewi. Kama CCM waliiba uchaguzi wa 2020. Uchaguzi uliowapa...
Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni?
Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia...
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo
Wamesema hauwezi...
Wakuu, salaam!
Nawakumbusha tu kwamba John Pombe Magufuli hajawahi kushindwa na haitatokea ashindwe - mara zote akiwa mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mashariki na baadae Chato iwe ndani ya CCM au...
Dalili zote zinaonyesha CCM itaanguka uchaguzi huu au ikishinda kiongozi mkuu atapata msukosuko mkubwa kutawala na mwisho wake ataanguka.
Uwenda kukawepo na mabadiliko makubwa hata kama dicteta...
DKT. Magufuli akiwa anaendelea na kampeni za uchaguzi 2020, amepita kijiji cha Nyehunge akiwa anaelekea Geita ambapo kutoka Sengerema mpaka Nyehunge ni kilomita 46. Alisimama kuongea na wananchi...
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za...
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.
Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.
Video hii hapa
====
SHEIKH...
"Ikulu ni mahali patakatifu"
Ni moja ya kauli aliyopata kunena Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere aliyekaa ikulu kwa takriban miaka 23 akimaanisha kuwa ikulu ni mahala pa Watanzania wote...
Leo November 5, 2020 anaapishwa Dkt. John Magufuli kumalizia Muhula wake wa mwisho kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika October 28 mwaka...
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.