Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020
Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini...
"Vitambulisho vya Ujasiriamali vina faida, unaweza hata kukopa kwenye Mabenki kwa kutumia vitambulisho hivi, maeneo kama Kigamboni wameweza kupangiwa kukopeshwa, vinatumika hadi kwenye Bima za...
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima.
''Vitambulisho havilazimishwi ni...
Wanabodi,
Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha...
Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi.
Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa...
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Heshima sana wanajamvi,
Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe.
Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe...
UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI
Na, Robert Heriel
ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word)
Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya...
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".
Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.
Hakuna kitu rahisi hapa...
Habari wana JF
Ukijifunza kwa nadharia tu, mara nyingi watu walio wengi huwa ni vigumu kupata ufahamu mpaka wafanye vitendo (practical).
Mwaka 2015 vyama upinzani viliwaeleza namna wananchi...
Ndugu zangu,
Nikiwa katikati ya shughuli zangu nimesikia kituko toka kwa Lissu na wafuasi wa CHADEMA eti..''pamoja na maendeleo aliyoleta mjerumani alikataliwa na waafrika sababu hakutenda haki''...
Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu;
1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya...
Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa
Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona...
Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala,
Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila...
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua.
Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua.
Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua.
Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya...
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona.
Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi...
Mh Rais, pole kwa mihangaiko ya kupiga kampeni ila nina neno moja juu yako usiku Waleo nalo ni siri japo sio Siri baada yakuandika hapa.
Hali inayoendelea hata tukiwa wanafiki na kuwa tumekunywa...
Tuna chini ya siku 150 kuelekea uchaguzi mkuu.
Huu utakuwa uchaguzi mkuu tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote zilizopita
Hakuna amsha amsha hakuna shamra shamra
Hakuna kimbiza kimbiza...
Habar za muda huu ndugu wanabodi
Sote tunafahamu ya kwamba mwaka huu (2020) patakuwepo na uchaguzi hot. Habari kutoka kwenye vyanzo vya ndani zinadai kuwa CCM wamejipanga kukihujumu Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.