Wanabodi,
Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja...
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu...
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko...
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
Kila siku anatukana watu wa Chato kwa kupelekewa maendeleo
Huyu Lissu tunamsubiri ataenda kuomba vipi hizo kura Chato na mkoa...
Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako...
Msanii Khalid Mohamed aka Top In Dar (TID) ameibuka na kutaka chama cha Demokrasia na Maendeleo kimlipe kwa kutumia neno "Ni Yeye" katika kampeni zao. Msanii TID anadai neno "niyeye" ni ubunifu...
CHADEMA imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Liss? Nitashangaa sana kama Tundu Lissu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au TTCL.
Ni lazima Tundu Lissu atumie...
Mgombea wetu wa Bagamoyo, Ndugu Vitali Mathiasi Maembe ameondolewa kuwania Ubunge wa Jimbo hilo. Majimbo mengine ya Pwani ambayo Wagombea wetu wamekatwa ni Mkuranga na Kibiti.
#Hatukubali
IKIWA imebaki siku moja Uchaguzi Mkuu ufanyike, Jumuiya ya wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na madereva pikipiki ‘bodaboda’ nchini, wametoa msimamo wao kuwa watampigia kura mgombea wa Chama...
Mtangazaji wa kipindi maarufu cha Nitetee Foundation kinachorusha runingani mambo ya kijamii, hasa matatizo , mwanadada Flora Lauwo ametia nia kugombea ubunge, Viti Maalum CCM, Mwanza.
Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao?
Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ?
Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi...
LISSU ATANGAZA VITA DHIDI YA WAMACHINGA TANZANIA. ASEMA, WAMEKUA KERO KWA WAFANYA BIASHARA WA KIGENI.
(kutoka Tunduma Mbeya)
Anayetarajiwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia tiketi ya...
Siasa bhana hazitabiriki kabisa.
Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA...
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc...
Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni...
Kumbuka.
"Man without God can not, and God without man will not"
"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"
Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida...
Jopo la ulinzi wa Freeman Mbowe limejiunga CCM huku mmojawapo akiwa mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM. Tukisema CCM ni mfumo wa kisiasa nchini kuna baadhi ya watu hawaelewi!
Kuna ''wajinga''...
Ni furaha sana kwangu. Mimi nikiongea na wananchi, wanapotoa machozi, wakisema kwa furaha. Nanukuu machache:
"Nimefurahia sana nchi kuwa ilivyo na yenye hadhi" "Nilikuwa mvivu, ila sentensi ya...
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.