Sikiliza mchango wa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki, akieleza mambo machafu yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 kupora haki ya wananchi kupata viongozi wanaowataka.
Wanabodi,
Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa...
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za...
Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha...
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni...
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea...
Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na...
Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi.
Ameainisha kuwa...
Mgombea Urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu Sera, Amani, Maendeleo na Demokrasia ya Nchi yetu.
Prof. Lipumba amehoji sababu za...
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim
Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete...
Humprey Polepole tambua Rais anategemea taarifa sahihi toka kwenu lakini wewe unamdaganya na kumsababishia kampeni kuwa ngumu kwake sana.
Mimi ni mwana CCM na sihami CCM, Ni dhahiri Humphrey...
Tuna siku 30 kamili za kuandika andika humu kwa uhuru na kukosoa kwa haki wagombea wetu. Baada ya hapo kuna mawili, turudi utumwani au tujikomboe. Uamuzi ni wetu ile Jumatano inayosubiriwa ya...
Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na...
MAENDELEO YA VITU, MAENDELEO YA WATU,YOTE NI MAENDELEO YA BINADAMU.
Leo 13:30hrs 11/10/2020
Ni suala la yai na kuku, bila ya vitu kwa maana ya Miundo mbinu kama Reli, barabara, Umeme,Viwanja vya...
Na Thadei Ole Mushi.
Watu wa Kilimanjaro sio wajinga kiasi hicho, watamchagua Rais Magufuli kwa Kura nyingi Sana kuliko wagombea wengine wa uraisi. Twende sawa na agenda zetu....
1. Kilimanjaro...
Wananchi wa wa kata ya Loya jimbo la Igalula wanataka majibu ya ahadi zako kuhusu mambo yafuatayo:-
1.Ukarabati makini wa Barabara ya Mabeshi - Loya hasa baada ya mafuriko ya mwaka huu! Hadi sasa...
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.
Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa...
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo...
8 September 2020
Ruaha -Mikumi, Morogoro
Tanzania
PROF JAY ALIVYOPOKEWA KWA SHANGWE NA WANANCHI AKIZINDUA KAMPENI, KAFUNGUKA WASANII KUMTENGA
Mgombea wa ubunge jimbo la Mikumi mkoa wa Morogoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.