Pichani za mhe. Amani Golugwa aliye Kampeni Meneja wa Tundu Lissu. Siku za Karibuni alipata mafunzo Kwa ufadhili wa nchi Za Europian Union kuhusu masuala ya kisiasa.
Kwenye uchaguzi wa Malawi...
ACHENI KUTUTISHA, SIO LAZIMA TUWACHAGUE.
Na, Robert Heriel
Kuna wanasiasa wanatabia za hovyo sana. Hivi ninyi wagombea mnajichukuliaje? Au mnafikiri sisi tunawachukuliaje? Mnafikiri tunawaona...
Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha...
Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA
Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu
Hakuna ugumu kuna mbinu NEC...
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga huku akisema uchaguzi huu hautakuwa...
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa...
Ziara ya Rais ya Kilosa iligeuka kama kampeni ya ubunge Kilosa kumnadi Prof. Kabudi. Wakati mawaziri wenzake wakieleza mafanikio ya wizara zao katika kipindi cha miaka 5 inayomalizika haikuwa...
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi
Hebu tumsikilize...
Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu...
Aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kupitia CHADEMA, Cecil Mwambe amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kupitia Chama cha Mapinduzi.
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa"
Swali katika mada yangu ya leo ni katika...
21 October 2020
Chato, Geita
Tanzania
Mawakala wa Chato, mkoani Geita watoa tamko, hatujaapishwa
Mkoa wa Geita upo Magharibi mwa Tanzania na Chato ndiyo nyumbani kwa mgombea nafasi ya urais...
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Mahera amewaonya wasimamizi wa uchaguzi ambao wameficha barua za uteuzi za wagombea wa ubunge na udiwani ambao walishinda rufaa zao kwa sababu majina na picha...
Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa...
Karibu
Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana.
Chanzo: ITV
========
Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa...
Wanabodi,
Kati ya vyombo vyote vya habari duniani, chombo kikuu kabisa cha kuaminika, kwa sisi Anglophone Africa ni our colonial master, The British na shirika lao la habari la kibeberu la BBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.