Ni ukweli usiopingika sasa kuwa upigaji (ufisadi) ambao umekuwepo miaka nenda rudi serekalini bado kabisa haujapatiwa dawa, na serekali ya awamu ya 5 iliyojinasibu kama mkombozi katika eneo hili...
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.
Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo...
KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI
Na, Robert Heriel
Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni...
Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote...
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka...
TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana.
Lile tangazo...
Hii ni aibu aisee, yaani inatia kinyaa sana niko namsikiliza anapiga kampeni Magu kila baada ya maneno matatu ni full kisukuma.
Haileti picha nzuri kabisa, kwa sababu kampeni inarushwa Tanzania...
Nimemsikia mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Magufuli, kwenye kampeni zake zinazoendelea huku kanda ya ziwa, amekua akitumia kisukuma mara kwa mara.
Hatukuwahi kusikia Rais yoyote waliotangulia...
Watia nia Mpaka sasa
1. Tundu Lissu
2. Freeman Mbowe
3. Lazaro Nyalandu
4. Peter Msigwa,
Hawa ni watia nia ambao ninawatenga katika makundi matatu
KUNDI A
Wanaoonekana kuimiliki chadema...
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga...
Awali NI kupongeze Sana,kwa kitendo chako Cha kijasiri kuwa licha ya changamoto na matatizo lukuki iliyopitia CHADEMA umebaki imara!
Ni lazima nikusifu kwa kuwa hats ndani ya familia yako...
Hashim Rungwe Spunda ametia nia kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba kwa tiketi ya CHAUMA
Amesema, "Sera yangu ya kuimarisha lishe kwa watanzania bado iko...
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.
Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na...
WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC)...
Kwenye siasa pamoja na uwezo mkubwa wa kujenga hoja pia ubabe, utemi na kuoneshana uanaume ni jambo la muhimu.
Katika jimbo la Hai DC Ole Sabaya amemuonesha mbunge wa jimbo hilo aina fulani ya...
Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020.
Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake...
Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu na mwanzo wa ngoma ni lele!
Kuelekea Oktoba 28 dalili zote zinaonesha CCM kukataliwa na anga la Tanzania.
Kutakua na matukio mengi mfululizo kuelekea...
Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi.
My behavioral psychanalysis is:-
Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.