Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu.
Ukimsikiliza...
Kumekucha salama,
Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma...
Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo...
UPDATE
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa...
Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Jimbo la Temeke
- Doris Kilave
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo...
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa...
Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu umegubikwa na udanganyifu mkubwa kuliko uchaguzi mwingine wowote tuliowahi kuufanya. Ushahidi ni mwingi mno hadi imekua kama kichekesho hivi.
Sasa, kuna...
Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2)...
Habari wanajamvi,
Katika Taarifa iliyotoka jana kuna taasisi moja walitoa majumuisho ya Uchaguzi 2020, na Takwimu yao wamesema watanzania waliojiandikisha katika daftari ni milioni 29 na...
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum...
Wakuu habari za asubuhi!
Siku chache zilizopita nilisoma uzi mrefu wa mwanajukwaa moja aliyejitambulisha kama mwalimu wa chuo cha MIST huko Mbeya na mzaliwa wa Rorya Mkoa wa Mara. Alieleza kinaga...
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea...
Even the king of Jungle (The lion) has an end, it can never hunt again to feed its stomach due to oldness.
Hakuna wakati mgumu Chama cha Mapinduzi kinapita kama wakati huu. Chama kimekosa...
Wanabodi, Mimi ni mwana ccm na nilitoa hapa ushauri kwenye uzi huu Uchaguzi 2020 - CCM msimjibu Tundu Lissu, Mnavyomjibu ndio anazidi kuongea mengi
Mkutano wa Tundu lissu Tunduma ni dhahiri jinsi...
Mimi ni mwana CCM, Tundu Lissu anachotufanyia sio sahihi kabisa, Sasa anatuchezesha segere ya kujibu hoja zake ambazo kwenye TV hazionyeshwi na hazijibiki.
Yale maelfu ya watu wanaomfuata...
Wanabodi,
Nguvu ya Tundu lissu baada ya kusafiri kwa mtumbwi toka ukerewe si ya kawaida tena, ni kama sio yeye bali amevaa nguvu za maajabu na miujiza.
Mapigo ya Tundu Lissu Ukerewe, Mapigo ya...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewakutanisha maaskofu 71 wa makanisa ya “kiroho” jijini Dar es Salaam akiomba msaada wao ili ashinde ubunge.
Maaskofu hao walikutana...
Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma.
Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA
ORODHA YA WABUNGE WA...
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais.
Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.