Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa...
23 Reactions
467 Replies
43K Views
CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA) ILANI YA UCHAGUZI (MANIFESTO) JULY 2020 IMETOLEWA NA HAMASHAURI KUU YA TAIFA CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA MTAA WA KIJITONYAMA, KINONDONI DAR ES SALAAM JULY...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza...
30 Reactions
473 Replies
42K Views
Maana yake nini? Kama nchi iko kwenye muungano na nchi nyingine, inaweza kudai kuwa na "mamlaka kamili" bila kuathiri muunganio huo? Maalim, mgombea urais wa Zanzibar anapodai kuwa na mamlaka...
1 Reactions
182 Replies
10K Views
Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la...
22 Reactions
469 Replies
95K Views
Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena. Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Watanzania na wapiga kura wenzangu salaam, Mimi Bernard Kamillius Membe ni mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo. Tarehe 28/10/2020 ni siku...
52 Reactions
174 Replies
14K Views
Iwekwe kanuni kwamba kiongozi yeyote wa kitaifa akiharibu katika awamu yake asikaribishwe kabisa kwenye hafla za kitaifa Wala kuonekana kwenye meza kuu. Mtu kama amelitia taifa kwenye shida...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
CCM sikio la kufa halisikii dawa kumbukeni hadithi ya Yona kwenye merikebu pia kumbukeni hadithi ya belshaza na maandishi ya ukutani menemene tekeli na peresi chanzo cha yote haya ni Rais...
52 Reactions
108 Replies
12K Views
Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni...
34 Reactions
4K Replies
334K Views
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya. Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni? Zitto...
44 Reactions
151 Replies
17K Views
Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna...
44 Reactions
537 Replies
54K Views
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo aliandika barua kujiondoa rasmi kugombea nafasi hiyo. Hata hivyo, barua yake ilikataliwa. Barua ambayo imesambaa mtandaoni imeonyesha hivyo...
16 Reactions
139 Replies
13K Views
Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020. Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila...
7 Reactions
158 Replies
12K Views
Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni.. Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa...
47 Reactions
327 Replies
43K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano. Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais...
22 Reactions
228 Replies
26K Views
Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho...
8 Reactions
111 Replies
11K Views
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
29 Reactions
217 Replies
18K Views
Back
Top Bottom