Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda...
Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa.
Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Habari wana jukwaa.
Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi...
Wana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga.
Huyu Lissu analilia mdahalo na mtukufu Rais, asizubaishwe. Kwa kuwa mdahalo ni kipimo bora cha wagombea na kwa kuwa...
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.
Felister ametakiwa...
Baada ya kuchukua form ya kugombea urais wa JMT kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba leo amepokewa na umati wa watu ambao haijawahi kutokea tangia Tanzania ipate uhuru...
Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA...
Kulingana na report ya Ukaguzi ya CAG 2019/20 Serikali inadaiwa na Mifuko ya Jamii PSSSF kiasi cha zaidi ya Tshs. 700 Bilioni ambazo Serikali imekopa toka PSSSF na haijarudisha/kulipa fedha hizo...
Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga...
Kuelekea tarehe ya uchaguzi mkuu hapo October 28, ratiba ya Rais Magufuli inaonyesha atamalizia kampeni zake mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga ambako taarifa hizi zimezua gumzo kubwa...
Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.
Naomba niende kwenye hoja yangu. Wahenga walisema Muda ni mwalimu mzuri, Bwana huyu anayeitwa Tundu Lissu baada ya...
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu.
Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania...
Kiukweli Mbowe alipaswa kuandamana na Tundu Lissu kwenye kampeni za kitaifa za Urais.
Utafiti wangu unaonesha kwa sasa Mbowe yuko Machame akifanya kampeni za ubunge kijiji kwa kijiji.
Ndipo sasa...
Na Debora C. Kiyuga✍🏽
Katika kipindi cha Serikali ya Magufuli, vimejengwa viwanda vipya 8,477, ambapo vikubwa ni 201, vya kati 460, vidogo 3,406, na vidogo sana 4,410. Hii imeongeza idadi ya...
UFUATILIAJI WA MAJIBU YA RUFAA YANGU- SUPHIAN.
Napata simu, maswali ana kwa ana na jumbe nyingi za wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi, marafiki, ndugu na jamaa kutoka sehemu mbalimbali nchini...
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi...
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020.
Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.