Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida, ambacho sijawahi kukiona katika miaka ya nyuma katika tawala zilizopita, kwa kuyabakiza mabango kwa maelfu yanaendelea kuwepo sehemu mbalimbali nchini, wakati...
Habari mwanaJF. The home of great thinkers.
Duniani kote katika nyanja ya siasa kuna mambo na mikakati ambayo ni lazima ipangwe na kutekelezwa ili kuweza kufanikisha matokeo chanya kwa wapanga...
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya...
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la...
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?
NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli...
Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo.
Leo...
Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020.
Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura...
Mwandishi Wetu
Vunjo
Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa sekta za kifedha katika jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na...
Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro limetajwa kushindwa kupiga hatua za kimaendeleo kwa miaka kumi kwa kukosa mwakilishi sahihi wakutatua changamoto zilizopo.
Kutokana na hali hiyo mgombea ubunge...
Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi...
Viongozi wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kata ya Terrat wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini...
Waziri wa Afya katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi kupitia Rais Magufuli, Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya...
Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi...
Yawezekana kuna upotoshaji wa makusudi kabisa juu ya uwepowa viti maalum bungeni kuwa ni nafasi wanazopewa vyama vya Siasa kuchagua Wanawake wa vyama hivyo kuingia Bungeni kama Wawakilishi wa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu...
Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna...
Tumebakiza dakika chache ili tuweze kufanya mabadiliko ya kweli, chagua Tundu Lissu na Madiwani wake pamoja na Wabunge wake!
Tukumbuke vifo vya Watanzania wasio na hatia kama Aquelina, Azory...
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.
Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime...
Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...
Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda
Leo narudia tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.