Poleni wanasiasa wa pande zote.
Nimekaa naangalia matukio ya kisiasa yanayoendelea nchini kwanzia upinzani hadi chama tawala. Upande wa CCM hawana 🔥 sana sababu wanajua ushindi ni uhakika na...
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za...
Mchakato wa kupata wasimamizi wa uchaguzi vituoni umejaa sarakasi nyingi sana!
Kwa asilimia kubwa wote waliopitishwa ni watumishi wa serikali hasa walimu, wajumbe wa serikali za mitaa, maafisa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ACT-Wazalendo, vimejitoa katika uchaguzi wa udiwani kata ya Igumbilo, Manispaa ya Iringa uliopangwa kufanyika Desemba 8, mwaka huu.
Kata hiyo...
Toka serikali ya awamu ya 5 imengia watumishi wa umma zaidi ya laki 5 hawakuwahi kupandishiwa mishahara wala madaraja lakini kuna kundi la watumishi wachache sana nchi hii wameneemeka na serikali...
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewataka Mameneja wa Shirika la Umeme nchini TANESCO wa ngazi za Kanda, Mikoa na Wilaya kuhakikisha umeme haukatiki katika kipindi chote cha uchaguzi mkuu...
Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti.
Hakuna mtu mwenye...
Yani kabisa wewe ni Muafrika na unapiganiwa na beberu ili uwe Rais? Utapingwa na Waafrika wote popote duniani walipo. Hivi mnaona hata wale diaspora aliokuwa anawahutubia Lisu akiwa Ulaya...
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.
Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia...
Solomon pengo ambaye ni mdogo wake cardinal pengo anatoka sumbawanga jimbo la kwela, aligombea ubunge kwa ticket ya CCM mwaka 2010 na 2015. Katangaza kujiunga na TLP na atagombea ubunge kupitia...
WAZIRI MKUU- HUDUMA YA UMEME KUVIFIKIA VIJIJI VYOTE NCHINI:
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli imedhamiria kufikisha huduma ya umeme katika vijiji...
Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu...
Nimekuwa msaidizi katika moja ya kituo cha kupigia kura katika moja ya wilaya mkoani Mara.
Niliyoyaona ki ukweli yanatisha juu wizi wa kura. Kituo nilichosimamia kilikuwa mwambao wa ziwa...
Inasikitisha kwamba pamoja na chaguzi za mfumo wa vyama vingi zilizopita bado watu hamjalielewa somo badala yake mmekuwa mkirudia makosa yale yale kila baada ya miaka mitano.
inawezekana kweli...
Wasalam,
Nasema hivi, safari hii Kessy atamjua na kumuona adui wake live bila chenga. Suala liko hivi; Dada Kenani msimamo wa CHADEMA uko wazi hawautambui uchaguzi tena, mbali zaidi wanaomba...
Mgombea wa Urais CHADEMA Tundu Lissu leo ataendelea na Kampeni zake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini.
Arusha na Kilimanjaro ngome Kuu za CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze wanatarajiwa...
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya.
1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana.
2...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa...
Wanangwa,
Jana nilikuwa kanisani, mimi ni m- KKKT, na kama mnavyojua KKKT ni moja kati ya Taasisi kubwa sana hapa Tanzania ya kidini. Sasa wakati Mzee wa kanisa anasoma matangazo kikaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.