Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted...
Aida Khenan mbunge mteule wa Nkasi amesema, yeye ni mbunge pekee aliyetangazwa na katika mkoa wake amepata madiwani 10.
Lakini amesema amesikia kwenye mitandao kuhusu msimamo wa chama chake...
BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa...
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni...
Kwa kweli kama kuna siku nimefarijika ni jana tarehe 16 July 2020. Hii ni siku ya historia kubwa kwetu sisi wazalendo wa nchi yetu ya Tanzania.
Nimefurahi kuona kuwa katika usiku wa giza totoro...
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo...
Hakukuwa na Uchaguzi - 13 Wameuawa, 130 Wamejeruhiwa, 120 Wamekamatwa na Polisi, Mmoja AMEBAKWA 14 Wametekwa Mpaka Sasa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu
HOTUBA YA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KWA...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 mwaka huu ambavyo ni CCM na CHADEMA ndio vyenye sifa ya kupata wabunge wa...
Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje.
Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu...
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna...
2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa utaifa iendelee!
December 9, 2020, taifa letu litasherehekea miaka 59 ya uhuru. Katika hicho kipindi cha miaka 59, waasisi wa taifa hili...
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona)...
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of...
Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during...
Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe...
The way things are going on in this part of the world, the horror of the dictatorial regime, we the people of Tanzania have no choice except to vote out president Magufuli in the forthcoming...
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu...
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025
===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za...
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.