Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala...
Wana JF.
Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa...
Serikali ya Zanzibar imekusanya takriban dola milioni 380 (sawa na takriban Shilingi trilioni moja) kwa kukodisha visiwa vidogo 16 kwa wawekezaji wa kigeni.
Zanzibar ina zaidi ya visiwa vidogo...
Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM...
TAARIFA KWA UMMA
TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR
Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na...
“Niliingia katika siasa kwa sababu, niliona masuala mengi ya wanawake hayaingii kwenye sera mipango na bajeti kwa kuwa, nafasi nyingi za maamuzi zimeshikiliwa na wanaume.
“Hiyo ni kwasababu ya...
Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga Emmanuel Ntobi amesema uamuzi uliofikiwa na kamati si sahihi kutokana na kushindwa kufuata taratibu, kanuni na...
Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia.
Rejea kina
Arfi
Slaa
Zito
Sumaye
Lowasa
Safari
Nk
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai
Source: Wasafi tv
Baadae Mlale unono 😂🔥
Wakuu,
Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi...
Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla..
Je,
ni ipi hasa mipango mikakati yao...
Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya...
Wapendwa ushauri huu 👇🏾
“Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs”
😀😀
Haya msinitafute baadaye na ma presha huko!
Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe!
Haya muwe na usiku mwema 👊🏽...
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024.
Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini...
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea...
Ni Wosia wa Msingi sana kutoka kwa mwenyekiti mstaafu wa Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X
Inahuzunisha sana Tajiri wa Chadema kutaka kuwahonga Damu changa ya Chadema 🐼
Mungu wa...
Wanabodi,
Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV...
Msikilize Mwaisa anaongea kiutani utani ila ujumbe ni mzito sana,
"Mangi kweli wewe ni mkali ila mwachie dogo Mwanasheria anavisheni"
Kucheka pia ni sera ya Tundu Lissu,🤣🤣