Wakuu,
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kwa sasa CCM kimepoteza mvuto kwa sababu kimeshindwa kufikia...
Wagombea wa chadema makumi kwa maelfu wameenguliwa nchi nzima kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu. Sioni sababu ya kwanini chadema iendelee kushiriki uchafuzi huu ambao Askofu Bagonza...
Wakuu,
Kabla ya kampeni ukitaka kumsogelea Mwigulu au kiongozi mwingine mwananchi atapigwa roba chaaaaaa, labda kama kiongozi atasema mwacheni asogeee tumsikilize, mpeni mike!
Kupata taarifa na...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali...
Wakati Novemba 27, 2024 ikiwa ni zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, mkoani Kigoma tangu asubuhi kumeshuhudiwa malalamiko ya uwepo wa kura feki licha ya wimbi...
WAkuu,
Kupitia ukurasa wa X wa ACT Wazalendo wameweka taarifa hii, mambo yameanza kunoga mapemaaa!
Kupata matukio yanyojiri kimkoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LIVE - LGE2024...
Wakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
Wakuu,
Uchafuzi wa Serikali Za Mitaa bado unaendelea.
Hivi karibuni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nachingwea kimeeleza kusikitishwa na hatua ya kuenguliwa kwa...
Wakuu,
Kilio ni kile kile kwa wapinzani, balaa sana, huku kuna watu wamepongeza TAMISEMI kwa kufanya zoezi vizuri!:BearLaugh:
====
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) mkoa wa Arusha kimelia...
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?
Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?
Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?
Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?
Comments ziwe...
Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa.
Tutarajie ya mwaka 2019?
Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 -...
Uko Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, nimeona kupitia Global TV Online, zaidi ya Wagombea wetu wa CHADEMA rufaa zao zimegonga mwamba, hivyo wameenguliwa wasigombee nafasi yeyote uchaguzi wa...
Sitaki kutoa utabiri.
Lakini nataka nitoe maoni
Naona uwezekano kwamba hali inaweza kuwa kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.
Na kwamba CCM inaweza kupata ushindi mkubwa wa kufanya Rais Samia...
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida Mjini, Hamis Nkua, amechomwa kisu katika mkono wa kushoto begani.
Akizungumza na Nipashe Digital katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa...
Pia soma
Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe
LGE2024 - CHADEMA yatoa tamko baada ya Freeman Mbowe kukamatwa na Jeshi La Polisi
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana...
Wakuu,
Hivi badala ya kutumia social media, redio na TV au njia nyingine za kufikia wananchi unaamua kwenda kufanya Marathon kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Uchaguzi?
Vihoja hivi utavipata...
HISTORIA FUPI
Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare.
Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kwa asilimia 100 kwenye nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa kwenye uchaguzi wa Serikali za...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kigoma, imebaini baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa kutumia rushwa ya fedha na nguo kwa kuwapatia wananchi nyakati za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.