MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo;
1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na...
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimefanikiwa kushinda uchaguzi wa serikali za Mitaa katika vijiji 377 kati ya 381 Mitaa 81 kati ya Mitaa 82 na Vitongoji 1819 Kati ya 1832 Vilivyopo mkoani...
Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli.
Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anazungumza na Watanzania muda huu kutoka makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huu...
Mambo yaendelea kuripoti matukio mbalimbali yanayoendelea mtaani kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Katika Kata ya Mapinga, mmoja wa wapiga kura amesema, wazee wamepewa kipaumbele.
Soma...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametahadharisha watanzania juu ya upotoshaji unaotarajiwa kufanywa na vyama vya upinzani nchini kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu
Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua...
Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani...
Waungwana salaam,
Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha...
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na wanahabari leo Jumatano Disemba 04, 2024, mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27...
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.
Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa...
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wakikipa ridhaa chama chake kuongoza vijiji katika maeneo mbalimbali, wataongoza vijiji hivyo kama watakavyoongoza...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
Wakuu,
Tumemaliza kupiga kura jana na matokeo yaanza kuingia jana ile ile kwenye baadhi ya maeneo.
Hali ikoje mtaani kwako? CHAMA gani kimeshinda?
PIA SOMA
- LIVE - LGE2024 - Special Thread...
Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere.
Nimemlalamikia namna serikali ya CCM...
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu...
Ingetokea Leo kibaka YOYOTE mzoefu popote ulipo akakwapua simu ya mtendaji wa kata Leo angepiga bingooooo.
Leo ndo Leo wale wote walioshiriki kusimamia uchaguzi wa serikali ya MTAA ULIO ipa ccm...
Wakuu,
Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea...
Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.