Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa...
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa...
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa...
Wakati Mchengerwa anatoa taarifa ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa alisema kati ya wagombea wa waliopitishwa bila kupingwa ni wangapi walishinda kwa kupigiwa kura nyingi za NDIYO na...
Wananchi wa kata ya kiutu wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha wameandamana na kufanya kikao na Diwani wao wa kata hiyo Malaki Marambo Kwa lengo la kushinikiza kumkataa Mwenyekiti wao Hashim Saitabao...
Wakuu,
Mwakani kazi ipo, kama watu kama hawa ndio wanaongoza wengine kugombea nafasi mbalimbali za kuwakilisha wananchi!
====
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa...
Swali.
Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda?
My Take
Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila...
Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri.
Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK)...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Geita Mjini kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa nafasi ya Mjumbe wa kundi mchanganyiko katika Mtaa wa 14 Kambarage, kikilalamikia...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye...
Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea.
Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho.
Kama lipo tatizo lolote...
Ubaya ubwela hakuna unyonge
==
Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma linafanya uchunguzi wa tukio la Onesmo Simon, miaka 40, askari wa Kampuni binafsi ya ulinzi Kiwango Security na Mwenyekiti wa kitongoji cha...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa...
Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya...
Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga...
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Akiongea na wananchi...
Mkurugenzi wa Shirika la Bridge for Change, Ocheki Msuva ambaye ni mtaalamu wa siasa na utawala anayejihusisha na masuala ya vijana katika eneo la ushiriki na ushirikishwaji amesema uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.