Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo.
Vilevile, CCM kimeibuka...
Video Courtesy: SK Media Online TV
➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini...
Wakuu,
Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔
====
Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea...
Ndugu zangu Watanzania,
Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda...
Wakuu,
Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema?
HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi...
Wakuu,
Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa...
Wakuu,
Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂
Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
19 November 2024
TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA
https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E
Vyama hivyo rafiki wa...
Wakuu,
Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa.
Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya...
Wakuu,
Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi...
Wakuu,
Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa.
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331...
Wakuu,
Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika
Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na...
Wakuu,
Inadaiwa kuwa Jeshi la Polisi mkoani Katavi kupitia kwa Mkuu wa Upelelezi mkoani humo limemuita kwa mahojiano Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Katavi Rhoda leo, Jumamosi Novemba 30.2024...
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.
Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini...
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini...
Wakuu,
Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa;
"Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi...
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini...
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa.
Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na...
Nawaza tu
Uchaguzi huu CCM atapata 95%
CDM itapata 2%
CUF itapata 1%
ACT itapata 2%
Kwa mantiki hiyo CCM itashinda kwa kishindo kikubwa. Sababu ziko wazi za kimtaji anzia.
Sababu za kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.