KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake...
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote...
Nilikaa luningani kusubiri kama Moshi mweupe utaelekea Juu Mbinguni, na kweli ikawa hivyo na kumaanisha Mungu wa mbinguni amekubali Uteule wake Kwa 100%
Mara ya pili ndio jana katika Halmashauri...
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa.
CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea...
Wakuu,
Leo, katika tarafa ya King'ori, wilaya ya Arumeru, viongozi wapya wa serikali za mitaa wameapishwa rasmi. Sherehe hiyo iliongozwa na hakimu wa mahakama ya eneo hilo, ambapo wateule...
Leo Novemba 27,2024 huko Mikumi karani wa Uchaguzi amekamatwa live akiwa na karatasi feki za kura ambazo zote zinaonesha kuwa CCM imeshinda Uchaguzi.
Kiongozi wa CHADEMA alionekana kukamata...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/y9aCDGcQnto?si=d5b_CohHLJqdeUuh
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Dorothy Semu anazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari leo katika ofisi kuu za...
Wako wapi wale Makamanda waliokuwa wanamchukulia Poa Komredi Makala na mchungaji Msigwa?
Bwashee Retired uko wapi?
Mshana Jr Je?
Wapi mrangi ova
Jumaa Mubarak
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
Wakuu,
Ngoja tuone hayo matamko ya CHADEMA na CCM yatakuja na kitu gani!
====
Rais na Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika (CIP-AFRICA), Mheshimiwa Balozi Omar Mjenga...
Habari wakuu.
Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo.
Nimeangalia naona kama namba sizielewi.
Labda nyie mnisaidie
Hiyo
Wakuu,
Niseme tu kwamba nashangazwa na wingi wa matakamko ya polisi siku mbili hizi, yaani ni bandika bandua!
PIA SOMA
- LGE2024 - Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura...
Wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri ya kijiji kundi maalumu wanawake na mchanganyiko wameapishwa katika kata tofauti tofauti za wilaya ya Makete mkoani Njombe
Uapisho...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.
Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu...
Kama kuna mtu alitegemea CCM kubwagwa kwenye uchaguzi unaoendelea, basi ana tatizo.
Hata kushiriki kwa wapinzani ni tatizo. Mshaambiwa uchaguzi unasimamiwa na TAMISEMI mwenye chama na machawa...
Wakuu,
Kuna vitu mpaka aibu unaona wewe! Useless kabisa!
Baadhi ya viongozi wa dini nchini wamesema kuwa wamebaini viashiri vya uwepo wa namba za simu za nje ya nchi zikihamasisha taarifa...
Wakuu,
Vibaraka wa kuonesha justification ya udhalimu umefanyika wanaendelea na kazi yao. Watu watatu chama kimoja wamepoteza maisha afu mnajifanya vipofu mambo yalikuwa shwari?
=====
Kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.