Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng'wilabuzu Ludigija, amewapongeza wananchi wa wilaya hiyo kwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa amani na utulivu, bila kuzusha fujo...
0 Reactions
1 Replies
203 Views
Wakuu, Wananchi wa kata ya Ruaha Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wamefanya zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa Leo Novemba 28, 2024 baada ya zoezi hilo kuahirishwa siku ya jana kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Wakuu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Makanisa ya Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki, amehimiza wananchi kuendeleza umoja baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, na kuvitaka vyama vya upinzani...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni...
0 Reactions
9 Replies
556 Views
Mgombea wa nafasi Mwenyekiti wa Kijiji cha Kabwaga, Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Helman Lutambi Mzee amesema Novemba 27, 2024 siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa amedai...
2 Reactions
8 Replies
419 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia Gidion Kefasi Siame (34) Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Momba na Fiston Alinoti Haonga (57)...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Shaban Mpendu ameeleza uhalisia wa madai ya CHADEMA kuwa mawakala wake 63 waliondolewa kwenye vituo wakati wa upigaji kura. Kupata taarifa...
0 Reactions
3 Replies
218 Views
Wakuu, Kwahiyo waliacha matobo makusudi ili waje watuambie watafanya vizuri wakati mwingine, wakati wananchi watakaa na uozo huo kwa zaidi ya miaka 3? Eti taifa letu changa, mfumo wa vyama vingi...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Msimamizi wa Uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
465 Views
Mpaka Muda huu saa 10 na nusu jioni siku ya pili ya uchaguzi hapa kijijini kwetu kikunja Halmashauri ya wilaya Songea hatujabandikiwa matokeo ya uchaguzi kwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji. Kila...
1 Reactions
6 Replies
273 Views
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Kata ya Ikana, Wilayani Momba, Amos Sikamanga (41) amelazwa katika kituo cha afya Tunduma akidaiwa kujeruhwa vibaya kwa kuchomwa kisu cha utosi na viongozi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Wakala wa Chadema Edward Odingi ameshikiliwa na jeshi la polisi mara baada ya kuchukua boksi la Karatasi za kupigia kura na kuondoka nazo akiwa na mgombea wake Kwa mujibu wa Kamanda wa...
1 Reactions
0 Replies
169 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
1 Reactions
6 Replies
668 Views
Wakuu, Polisi safari hii ni boko baada ya boko! Siku hizi mbili yametoka matamko naona karibu ziko zote toka nianze kufolo page za polisi TZ. ===== TAARIFA KWA UMMA Zipo taarifa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Wakuu, Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana...
1 Reactions
1 Replies
350 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama...
2 Reactions
8 Replies
614 Views
Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz Kanda ya Viktoria kimetangaza kupotea kwa mgombea wa chama...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hakuna miujiza yoyote wanayofanya ccm, wakati wa uandikishaji wakala anatakiwa kuwa na idadi ya wanaoandikishwa kila siku mpaka siku ya mwisho orodha kamili awe nayo na ifikishwe chamani. Pili...
2 Reactions
5 Replies
250 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Back
Top Bottom