Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024: Tunachukua fomu kwa SHIDA. Tunarejesha fomu kwa SHIDA. Tunateuliwa kwa SHIDA. Tunafanya kampeni kwa SHIDA. Tunapiga kura kwa SHIDA...
2 Reactions
6 Replies
441 Views
Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Mtoni, Kata ya Ruanda, jijini Mbeya kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Elisha Chonya, ameyakataa matokeo akidai kanuni zilivunjwa huku msimamizi...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi mkubwa katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe, hasa katika...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hiyo ndyo yaliyotokea karatu, Polisi wakishirikiana na Green Guard CCM walipora na kutangaza wagombea wote wa CCM. Walikuwa wanatembea kituo hadi kituo kupora wakiwa na green guard.
1 Reactions
7 Replies
478 Views
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana. Aidha...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Jimbo la Rorya limeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508. Ushindi huu ni zaidi ya 97% . "Ushindi huu unatupa dira na mwelekeo wa uchaguzi wetu wa Serikali kuu mwakani lakini...
0 Reactions
7 Replies
409 Views
Wakuu, Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa jimbo la Nzega Vijijini na Bukhene, Mhandisi Modest Apolinary amekanusha kuhusu tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa wakala wa Chama...
0 Reactions
6 Replies
304 Views
Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda...
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna maeneo utaona sijui chauma, UDA ,ACT n.k Vinaweza kupewa baadhi ya vijiji au ubalozi.. Ili kufukia mashimo nchi ionekane ina demokrasia.. Ila once again CHADEMA poleni Hii itakuwa zaidi ya...
3 Reactions
15 Replies
384 Views
Wakuu, Maake hapo kwanza ncheke! === Jeshi la Polisi mkoani Rukwa limetoa ufafanuzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vijana sita wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukamatwa...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine...
2 Reactions
12 Replies
630 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Wakuu, Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka. Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Wakuu, Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma. Ikumbukwe kuwa uchaguzi...
2 Reactions
2 Replies
319 Views
Wakuu, Huko Misungwi mkoani Mwanza Mawakala wa Uchaguzi wapongeza zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Wakuu, Kupitia ukurasa wa X Zitto Kaandikwa haya; Kijiji cha Kiranjeranje kilichopo jimbo la kilwa kusini mkoani lindi,ACT Imeshinda kijiji na msimamizi aliamua kuwa atatangaza. Polisi...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema yeye binafsi hajutii kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji uliofanyika jana Novemba 27 2024. Lissu ameyasema hayo...
5 Reactions
5 Replies
566 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa Mjini, Frank John Nyalusi, amezungumzia hujuma zilizojitokeza katika upigaji kura wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
4 Replies
460 Views
Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom