Wakuu,
Amesema Mchengerwa wakati anahojiwa na mwandishi wa TBC, kuwa kuna baadhi ya maeneo ambayo kumetoa sintofahamu mbalimbali, hasa maeneo ya Morogoro kuwa amewaambia watafanya uchaguzi...
Wakuu,
Huu uchaguzi ni balaa!
======
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za...
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea.
Akizungumza...
Wakuu mambo yameanza kuchangamka sasa. Unaweza kusema walichokuwa wanatarajia wamekikosa kabisa!
===============
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM tawi la SOKONI katika mtaa wa MGUMIA...
Chama cha @actwazalendo_official kimeshinda uenyekiti wa kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kwa kura 528 dhidi ya kura 418 za CCM...
Wandugu kwema?
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana...
Wakuu,
Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya...
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa.
Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila...
Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania
Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na...
TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024
KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 27 Novemba 2024 amepiga Kura ya kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Unyamwezini Kata ya...
CCM ni chama kikubwa chenye historia kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi lakini nashauri yafatayo!
CCM kwenye chaguzi kuanzia 2019 imekuwana na woga kushindana na vyama vingine na kupelekea watu...
TAARIFA KWA UMMA
Tumeendelea kupokea matukio hujuma kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Utekaji, ukamataji kinyume cha sheria, kura feki, na kusumbuliwa kwa mawakala.
===...
Wakuu,
Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa .
Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani?
Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA.
Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.