ARUSHA: UMATI wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station kilichopo katika kijiji cha Manyire kata ya Mringarini wilayani Arumeru mkoani Arusha...
Wakuu,
Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27...
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Wakuu,
Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili?
Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
Wakuu Matokeo ya Uchaguzi yameanza,
Zitto kabwe kupitia Ukurasa wake rasmi wa X amepost matokeo haya:
---
PIA SOMA
- LGE2024 - Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza...
Nakumbuka mwaka 2020 nilipoenda kupiga kura nilishangaa yafuatayo.
1. Mpinzani niliyempigia kura hakupata kura hata moja.
2. Baada ya siku kama nne hivi nilionana na rafiki yangu ambaye naye...
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu Amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mwaka Huu Umekuwa na Mwamko Mkubwa Akisisitiza kuwa hiyo ni Ishara ya Kuimarika kwa Demokrasia...
Wakuu,
Nimelia sana baada ya kuona picha hii ya Tundu Lissu akiwa anahutubia huko Singida.
Najua kuendesha chama cha siasa Tanzaniani ngumu hasa upande wa kifedha lakini ifike hatua mjipe...
Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari.
Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika,
Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja...
Haya ni baadhi ya malalamiko yaliyoibuka katika uchaguzi wa serikali za mitaa na majibu ya wasimamizi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Geita leo Jumatano Novemba 27, 2024.
Soma Pia...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha...
Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba, amesema watu nane wanashikiliwa baada ya kuchukua kura na kukimbia nazo.
Soma pia: Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Juma Khatibu amekanusha madai yanayochapishwa kupitia Video Clip inayosambaa Mitandao ya Kijamii kuhusu baadhi ya Vituo vya kupiga kura kuendesha...
Wakuu,
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa baada ya Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam kulalamika kadhia wanayoipata kwa kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amepongeza mwenendo wa upigaji kura katika mkoa huo, akieleza kuwa mchakato huo umekwenda vizuri licha ya baadhi ya changamoto zilizojitokeza. Serukamba...
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha...
Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona
Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwasaidia wapiga kura kusoma...
“Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.