Hali ya upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji leo tarehe 27, Novemba 2024 mpaka muda huu wa saa 8 kamili mchana.
TUKIO LA SHAMBULIZI
Kwa masikitiko makubwa...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kimetangaza kususia uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 unaoendelea sasa, kutokana na kile walichodai kuwa fomu...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/1BGbDsl2-Vw?si=VNit5q0r1ZwBNF1J
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green...
Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred...
Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe Jumaa Aweso akipiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji chake cha Sakura kwaKibuyu Kata ya Kipumbwi jimboni Pangani Mkoa wa Tanga.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amepiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Wagombea wote wakubali matokeo.
"Watu wamejitokeza...
Kinachoendelea nchini aibu kubwa sana ndani na machoni pa mataifa mengine.
Tumefikaje hatua ya watendaji wa serikali kuua mwananchi na mwanasiasa kwa sababu ya uchaguzi wa ujumbe wa serikali za...
Makamu mwenyekiti wa Act Wazalendo Tanzania Bara Isihaka Mchinjia leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye...
HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu...
Wakati upigaji kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ukiendelea maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni...
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha.
Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi...
MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge ameongoza wakazi wa mkoa huo kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kunenge amekuwa kati ya wananchi waliopiga kura katika kituo cha mkoani A...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt.Tulia Ackson ameshiriki zoezi la kupiga kura na kumchagua kiongozi amtakaye huku akisisitiza wananchi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea...
Moja moja kwa mada:
Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Momba, mkoani Songwe kimeeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya vitendo visivyofaa kwenye zoezi la uchaguzi ulioanza mapema leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.