Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki.
ACT Kura 528
CCM Kura 417
Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha...
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye...
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika?
Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya...
Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
Mambo yamezidi kuwa moto huko
Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe
Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.
Wakuu,
Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe!
====
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus...
Wakuu,
Oneni huyu mpuuzi!
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la...
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA...
Akizungumza na wananchi wa Dumila jana Novemba 24, 2024 katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika aliwataka wafuasi wa chama hicho kutokuondoka kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura...
Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia...
Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo...
Wakuu bado matokeo baadhi ya maeneo yameendelea kutoa. Vipi mtaani kwako mambo yapoje huko
=====================
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba kata ya Gangilonga Jimbo...
Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga...
Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni uchaguzi usio huru na haki, tunaomba mamlaka iangalie namna ya kurudiwa kwa uchaguzi maeneo mbalimbali ambayo wagombea wa upinzani wametekwa, kupotea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.