Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa anapaswa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi. Kama mhusika Mkuu wa uchaguzi husika...
1 Reactions
4 Replies
207 Views
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MZIMUNI YAMEJIRUDIA YA MWAKA WA 2020 https://fb.watch/w8Q90VtSG-/ Nimefika kituoni kwangu Magomeni Mapipa Shule ya Mzimuni kupiga kura saa tatu asubuhi na nilikutana...
5 Reactions
19 Replies
611 Views
Mwenyekiti wa Mtaa wa Makaburi A, Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamis Lukinga maarufu kama 'Mzee Kiuno' (70) aliyehudumu kwenye uongozi huo kwa miaka 30...
6 Reactions
19 Replies
974 Views
Wenyeviti 36 na wajumbe wa serikali ya mitaa 180 katika Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani Dodoma wameapishwa tayari kuanza kutekeleza majukumu yao katika serikali za mitaa. Akizungumza baada...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Wakuu, Kwahiyo wamewapanga hawa waangalizi ili kujustify udhalimu wao! Mwakani hali itakuwa mbaya! ===== Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la FAOPA, Mtwara (Wadau wa masuala ya Demokrasia na...
0 Reactions
5 Replies
278 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM imeendelea kuonyesha Umwamba wake katika siasa za Nchi hii na Bara zima la Afrika.imeendelea kuonyesha namna inavyokubalika ,kupendwa ,kuungwa mkono na namna ilivyo na...
7 Reactions
130 Replies
3K Views
Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Bwashee, mtaa wako una Mwenyekiti mwenye Kiti na CPA? :D Basi kutana na Celina Mkonye wa kule Mbweni. Mara baada ya kula kiapo cha utii na uadilifu, Mwenyekiti aliyechaguliwa wa Mtaa wa Malindi...
1 Reactions
0 Replies
260 Views
Wakuu, Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufafanuzi kuhusiana na Zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo lilifanyika tarehe 27.11.2024 mkoani Njombe. Ni kwamba Jeshi la...
0 Reactions
6 Replies
379 Views
ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa...
0 Reactions
7 Replies
435 Views
Kuna mauwaji ya kigaidi yaliofanyika kwenye uchaguzi huku wengi wameuliwa kwa kupigwa risasi, lakini cha kushangaza hatuwaoni viongozi wetu wakikemea vitendo hivyo kama vile ni vizuri hii sio sawa...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
Jumla ya wenyeviti na wajumbe 1953 leo Novemba 28.2024 wameongozwa kula kiapo cha uaminifu na uadilifu na Hakimu Mkazi Mahakama ya Mwanzo Illuminata Lutakana mara baada ya viongozi hao kushinda...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Watu wasiojulikana wamevunja ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Nyandewa na wengine kuiba masanduku ya kura na kutokomea nayo kisha kuyatelekeza porini huku watu watano wakikamatwa baada ya kukutwa...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Wakuu, Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoani Arusha Simon Ngilisho amesema kuwa zoezi Upigaji kura limeanza vizuri lakini bado kuna changamoto kubwa ya utafutaji majina Akizungumza na...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Simiyu, wakiongozwa na Kaimu Shekh Issa Kwezi, wameeleza kuridhishwa na zoezi la upigaji kura lililofanyika jana Novemba 27, 2024. Shekh Kwezi amesema kuwa...
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
2 Reactions
17 Replies
529 Views
Wakuu, Msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri ya Liwale, Tina Sekambo, ametangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa leo, Novemba 28, 2024, ofisini kwake, mbele ya waandishi wa...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Back
Top Bottom