Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa...
Haya ni mahojiano yaliyofanyika muda mfupi baada ya mapinduzi ya zanzibar.
Sikiliza mahojiano ya Karume, Babu na Okello ( mapinduzi ya zanzibar haya kuwahusisha wanasiasa )
Mohamed...
Wanabodi,
Zanzibar inajiandaa kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 1964 yalioufuta ule uhuru bandia wa mwaka 1963 chini ya serikali ya vibaraka ya Sultani Jamseed...
Taifa la Zanzibar limekulia na kudumaa katika uongo, ulaghai, ghiriba, vitisho na mauaji kwa miaka 51 sasa. Vizazi vimelishwa uongo wa uhalisia wa mapinduzi na wanamapinduzi wa kweli wa Zanzibar...
Katika video hii yuko Rais wa Kwanza wa Zanzibar Bwana John Gidion Okello "Field Marshal" (Katikati), Pia yupo Abdulahman Babu kulia (Mkalimani) na yupo Abeid Karume (Kiongozi wa ASP).
Hapa Rais...
Wana bodi, japo tuko kwenye harakati za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, kuna swali linanitatiza kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ambapo majibu yake sahihi, pia yanaweza kuwa ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata...
Wanabodi,
Tumezoa kusikia neno "Matukufu" kila yanapotajwa Mapinduzi ya Zanzibar ya January 1964, Jee neno hili, Matukufu, lilitokea wapi na lina maana gani kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
==
Binafsi Ninamuunga mkono Mhe TUNDU LISSU. na Nina sababu zangu za Msingi kutokana na Nini anakiwazia katika kuboresha mifumo ya Taasisi (Ndani ya CHADEMA). Leo nitajadili Kwa ufupi hoja yake ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na...
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba...
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.
Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka...
Salaam Wakuu,
Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo
Soma hapa:
- Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba...
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema yule Mfanyabiashara aliyetekwa na kukutwa ametupwa Bagamoyo akiwa amekufa ni muumini Mwaminifu Sana wa Kanisa lake na alikuwa hana shida yoyote
Matsahi...
Tuwe Wakweli kinachoendelea Chadema ndio ukomavu wa Demokrasia
Ingekuwa ni wale Mbogamboga ungesikia Lisu ameshakatwa eti alianza kampeni mapema lakini Kamilius akaachwa πππ
Chadema wakimaliza...
Wanabodi
Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!.
Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi...
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na...
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi...
Wakuu habari za muda huu.
Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack...
Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati...