Mwiba hutokea ulipoingilia
Kama Mwenyekiti Mbowe alitaka kuacha uongozi wa Chadema Kwa kuchukua likizo ya Muda mrefu na Wao wakamkatalia Sasa kwanini Leo wanamlaumu?
Chadema acheni ujinga na...
Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA
Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA imekuwa na utamaduni na tabia ya kuwapanga na kuwasimamisha watia nia wake wa nafasi mbalimbali za uongozi utafikiri watoto wadogo wa shule ya msingi au sekondari...
Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
Wakuu salam,
Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale
Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway...
Saa chache baada ya kutolewa taarifa ya kukamatwa kwa mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kumshikilia kwa mahojiano.
Taarifa ya...
Mimi bwana kitabu cha Kabendera sijakisoma kabisa ila nimeona mitandaoni kuna kipande kwenye kitabu hicho kinaelezea kwamba mwendazake alivalia pajama kama maandalizi ya ubakaji kwa msaidizi wake...
"Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu"
"Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema...
Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya...
Hii ni dhahiri Mbowe hana mpango wa kuachia madaraka hivi karibuni. Amesema Majenerali hawaondoki katikati ya vita mpaka wanafia vitani. Pia Amesema upinzani hakuna watu wa kujitolea wala maono ya...
Wakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje...
Dr Wilbroad Slaa aliyeikimbia Chadema katikati ya mapambano ya kukamata dola mwaka 2015 na kutunukiwa ubalozi kwa sasa ndiye mpiga debe mkuu wa Tundu Lissu kutaka kukamata uongozi ndani ya chama...
Walisema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni:
Wengine mkiona mwaitishwa kung'atuka, tambueni hamna jipya!
"Kwamba mmepwelewa."
Yote ni kiroho safi ndugu zetu.
Habari ndiyo hiyo.
Uzuri wa huu uchaguzi wa Chadema wagombea wanafunguka mno
Mbowe ni kama alikuwa anatishiwa hivi kwe shughuli zake za ujasiriamali Ili aitii CCM.
Nadhani CCM ilijua huyu ni Mfanyabiashara...
Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema...
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa...
Lissu atafeli tu, hakuna namna.
Wajumbe wote wa Kamati Kuu ni chadema makini, na wako na mtu makini, Mh. Mbowe. Lissu kwa sasa anamtukana Mbowe, ambaye hata akikosa Uenyekiti wa chama, atakuwa...