kwa wale wanaotaka kugombea uongozi ktk uchaguzi mkuu ujao wamejiandaaje iwapo mh rais atalazimika kuvunja bunge kutokana na serikali yake kushindwa kutekeleza maazimio ya bunge, inawezekana rais...
Wakuu,
Nilisema nitakuwa naandika taratibu juu ya yale niliyoyaona kwenye safari yangu ya TZ siku za karibuni.
Kule Kyela niliambiwa na kugundua kwamba ni tatizo, mkakati wa kutumia wanachama...
TUNAHITAJI fikra mbadala katika siasa zetu. Hili ni dhahiri. Nilijaribu kujadili hali halisi ilivyo katika chaguzi zetu na hasa za wabunge. Nikaeleza changamoto na matatizo muhimu yanayotukabili...
Kuna habari zime enea sana hapa Magu kwamba Bw.Madete naye mhandisi amenuia kugombea Ubunge Magu .Madete mwenyewe yuko kimya baada ya kuona uvumi umekuwa mkubwa nimeona nije hapa kamvini kuuliza...
Nadhani watz hakuna budi kukuvali mapema kwamba mh kikwete ataibuka na ushindi wa sunami 2010 baada ya kuonekana mtendaji mzuri hasa huu uhuru aliotuachia.lkn swala la wabunge kijinafasi bungeni...
Tangazo limetolewa kwenye Daily News ya tarehe 25 Julai, 2009 kuhusiana na ratiba ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa mwaka 2009. Uchaguzi huo utafanyika tarehe 25 Oktoba, 2009.
Baadhi ya...
askofU mukiwa anasema leo wazi wazi kwamba uchaguzi wa 2010 utakuwa mgumu sana kwa wanasiasa wengi kwa sababu wananchi wengi wameshajua haki zao ni zipi!.
.''....wanasiasa waongo hawana...
Ndugu zangu, si vibaya kama wadau wa maendeleo ukaanza kujadili kero mbalimbali za jiji letu la lukuvi.
Kwa ufupi ni kwamba kwa mtu kama mimi, naitwa mrekebishaji, najua kabisa siwezi kugombea...
Jina langu. MzeewaHhoja
Elimu yangu. Inatosha kupitishwa.
Kadi yangu. nishailipia kama kijana
itikadi yangu. maendeleo
Chama Changu. C
Nilitembelea kisiwani Mfia hivi karibuni. Nilianzia Dar...
Jamani naomba tuanze kampeni rasmi kwa ajiri ya uchaguzi ujao nchini Tanzania bila ya kujali chama.kuna mwamko mkubwa sana duniani kwa kufanya vijana wawe viongozi wa leo.kwa kuanzia ni lazima...
Sijui ni lini uchaguzi Mkuu wa Chadema utafanyika japo nakumbuka ulikuwa ufanyike katikati ya mwaka huu. Kwa vile muda uliobakia kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 ni kama mwaka mmoja na nusu tu, je...
Ole wao wapinzani mwaka 2010
Mambo ya Ndani Kuajiri askari wapya 7,000 kukabili vurugu za uchaguzi
na Salehe Mohamed, Dodoma
SERIKALI inatarajia kuajiri askari 7,000 pamoja na kununua...
NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini, Hamis Kagasheki, ametangaza kutogombea ubunge katika uchaguzi mkuu mwakani.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano hivi...
Waziri awatahadharisha wapiga kura wa Busanda kuwa wasipomchagua mgombea wa CCM watabambikiwa kodi na kunyang'anywa leseni -
Makame kimya !
Katibu Mkuu wa CCM amtisha msimamizi wa uchaguzi...
CHAMA cha wananchi (CUF) kimezindua mkakati mpya unaolenga kushinda uchaguzi mkuu ujao, huku ikitoa tuhuma dhidi ya serikali na Chama cha mapinduzi (CCM) kuhusu undanganyifu.
Katika mkutano wa...
Sharon Sauwa
Jumla ya shilingi bilioni 67 zinatarajiwa kutumika katika kufanikisha maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwakani kwa ajili ya kuwapata madiwani, wabunge na rais...
2009-06-09 07:59:00
Opposition threatens to boycott elections
THE CITIZEN
CUF leader Prof Ibrahim Lipumba (left) and secretary-general Seif Shariff Hamadi address a press conference in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.