Baada ya kutafakari kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi kwenye ka- Nchi ketu haka maskini sana ulimwenguni (wa mipango) nimeona haya mambo ni muhimu sana kuhusiana na uchaguzi huo. Itikadi, Sera...
Ndugu wana JF, sijaona thread yoyote inayozungumzia hoja ya mgombea binafsi. Naona hoja hii ina maana kubwa sana kwa watu wenye kutaka kuingia kwenye siasa ila wanakwamishwa na mambo ya vyama...
Ninapokumbuka kwamba uchaguzi mkuu wa rais na wabunge utafanyika mwaka kesho,
naona ni vema tukashauriane mambo muhimu ya kujiandaa ili uchaguzi huo uwe wa mafanikio makubwa.Tena uwe huru na wa...
Hili ni suala nimekuwa najiuliza sana huko Tanzania. Tunaelewa kuwa Mwaka huu mwezi Oct kuna chaguzi za Serikali za mitaa yaani kuchagua wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe wao.
naona kuwa...
Leo Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa tamko rasmi la Mkutano Mkuu wa Ndani ya Chama nalo ni kama ifuatavyo;
TAARIFA KWA UMMA WA WATANZANIA.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Katika hali ya kustaajabisha kuna taarifa kuwa yule mwandishi wa habari na mmoja kati ya wamiliki wawili wa gazeti la mwanahalisi amekuwa katikajuhudi kubwa ya kutengeneza mazingira ya kugombea...
Kwa watu makini sana kwa karibu sasa miaka 10 hivi imepita tumeshuhudia mabadiliko makubwa sana mwamko kutoka kwa Watanzania walio wengi katika dimbwi kubwa sana la umaskini.
Katika hili Vyama...
Ummy Muya
KATIBU wa Kamati ya Kutetea Haki za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema waraka maalum utakaowaongoza waumini wa madhehebu hayo katika uchaguzi mkuu wa mwakani, umekamilika...
Kususia FUTARI za kisiasa na za Wamarekani.
VIONGOZI wa dini ya Kiislamu wamejifungia katika Msikiti wa Mtambani wakiandaa tamko muhimu katika historia ya Uislamu nchini.
Shur aya Maimamu...
Hidaya Kivatwa na Salim Said
http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=14158
SHURA ya Maimamu wa Tanzania, kesho inatarajia kuzindua rasmi mwongozo kwa Waislamu kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010 na...
Na Salim Said Salim
KIFUPI cha marefu, mkato wa maneno na kurahisisha magumu yawe mepesi, nasema Zanzibar hakuna uchaguzi bali "uchafuzi."
Inazoeleka kuwa kupiga kura si haki kwa raia, bali zawadi...
Kijarida chako ukipendacho kimetoka; jipatie nakala yako, wasambazie wengine, na waalike wajiandikishe waweze kupata dozi ya fikra mpya za mabadiliko ambazo hutangulia mabadiliko ya kura!
Mara nyingi huwa tunajadili nani anastahili kuwa rais, nani ana nafasi kubwa ya kuwa rais, nk. Mimi najiuliza swali moja ambalo labda lingemsaidia yeyote anayeingia IKULU kujua watanzania...
Uchaguzi unakuja, pombe, pilau, kanga na fulana!
Ayub Rioba
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Agosti 5, 2009
TUNAHITAJI fikra mbadala katika siasa zetu. Hili ni dhahiri. Nilijaribu kujadili...
Kama kuna kitu kinachonifanya nijiulize maswali mengi kichwani ni wagombea viti vya uraisi vyama vya upinzani. Toka mwaka 1995 wanaogombea ngazi ya uraisi wengi ni wale wale!
Hii inaleta picha...
Malecela ahofia CCM kuwa katika hali ngumu 2010
*ASEMA WABUNGE WENGI WATABWAGWA
Jackson Odoyo na Neema Rugemalira
MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, John Samuel Malecela amekitabiria chama...
Waislamu nao wameamua kujipanga ili kuhakikisha kuwa Rais, wabunge na madiwani hawachaguliwi kwa misingi ya kidini.
Ikiwa ni counter attack dhidi ya kanisa wanazuoni wa kiislamu pamoja na...
Wakati umewadia kwa wachambuzi wa siasa kuanza kubashiri yatakayojiri - na kutoa mwelekeo wa hali ya kisiasa - wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010. Moja ya masuala ambayo yatakiumiza na pengine...
Ndugu zangu wanajamii katika siku za karibuni tumeshuhudia kauli mbali mbali ya viongozi kuhusu kukemea ufisadi!Kauli ya Mh.John Malecela,Dr.Makongoro,SpIka wa Bunge Samweli Sitta n.k .Hivi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.