Tundu Antipas Lissu: Ataka ubunge Singida Kusini-Mashariki
Gazeti MwanaHalisi
MIAKA mitatu iliyopita, katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam, yalitokea mambo makubwa mawili...
Helo Members wa JF. na watanzania kwa ujumla.
Tunajiandaa na uchaguzi hapo oktoba 31/10/2010. kila nikijaribu kuangalia na kutafakari kwa makini na nikijumlisha matamsha ya wanasiasa mbalimbali...
Akitangaza ratiba hiyo Dk Slaa alifafanua kuwa fomu kwa wanachama wanatakaowania nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani zinaanza kutolewa Mei 3 kwenye ofisi za majimbo yaliyopo nchi nzima...
LICHA ya kutangaza kutogombea urais mwaka 2010, waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye bado anatajwa katika anga za kisiasa baada ya kuelezewa kuwa ni mmoja wa watu wanaoweza kujitokeza kupambana...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohammed Seif Khatib amependekeza mgombea wa kiti cha urais atakayemrithi rais wa sasa Jakaya Kikwete, atoke visiwa vya Zanzibar.
Waziri...
Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu...
Nikama hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010 kwani kilichopo ni kuthibitisha wana CCM watakao endelea kuitafuna Tanzania.
Mwezi October na Novemba utasikia hivi CCM IMESHINDA KWA KISHINDO.
Kikwete rais...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Jeshi la Polisi nchini limeamua kuondoa utaratibu wa kuweka askari wenye sare na silaha katika vituo vya wapiga kura ili...
Mchungaji Christopher Mtikila akionesha waandishi wa habari walaka wake ambao amesema atausambaza hadi nje ya nchi.
Akizungumza nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Slaam jana, Mwenyekiti...
Ameanza Spika na sasa kaja Mwanasheria Mkuu; na sitoshangaa baadaye atakuja waziri Mkuu na Rais au squadi zima la viongozi walioshindwa. Ati wanataka Zitto agombee wanakotaka wao! Kwa ubavu gani...
naomba tujaribu kutabiri nani anaweza kuwa waziri mkuu mwakani katika serikali ijayo ya JMT.
inasemekana Mh.Pinda hakuwa chaguo la mzee la kwanza, Je kuna wengine???
wapo pia waliotangaza nia ya...
Nampenda sana rais wa nchi yangu prezdaaa Kikwete,hata kama watu wanamponda lakini mimi naona kuwa baba wa watu anajitahidi,hata Obama kuna aliyoahidi lkn bado hajatekeleza!
watu ni wavivu...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbrod Slaa ameongea na waandishi wa habari kwamba chama chake kitatumia Tsh bil 5 tu na kuishinda CCM ambayo itatumia bil 50!
SOURCE: TBC1.
Hivi unajua kwamba mzee makamba aliwahi kufukuzwa shule baada ya kumpa mimba mwanafunzi wake yeye akiwa mwalimu????
Jee unajuaaliyemshauri nyerere makamba apewe nafasi kwenye chama ni marehemu...
Rostam aibiwa zana za kumngoa Selelii
VIFAA vya kampeni vya Mbunge wa Igunga (CCM), Rostam Aziz, vimedaiwa kuibwa katika mazingira ya kutatanisha.
Wizi huo ulifanyika ofisi za kampuni ya...
Imenichukua zaidi ya siku mbili kuitafakari riport ya REDET waliyoitoa juzi kuhusu mwelekeo wa siasa nchini, mwanzo nilikuwa siiamini lakini nilipoiangalia kwa undani nimeona kuna ukweli fulani...
Kwa mara ya kwanza, wagombea uwaziri mkuu wa Uingereza walikutana ktk mdahalo na kuelezea sera zao na maono yao ya jinsi na wapi wanataka kulipeleka taifa lao kama wakibahatika kuchaguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.