tangu kijana mpambanaji kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutangaza nia ya kumng'oa mwanasiasa mzee bw samwel malecela. hali ya mzee huyo imezidi kuwa mbaya kisiasa kiasi cha hivi...
Sitaki kusahau issue ya muhimu eti kisa Liyumba kaenda jela miaka miwili,hukumu gani hii inayohamasisha wizi wa mali za umma yaani ni nani ataogopa kuiba zaidi ya bilioni 200 kwa kwenda jela miaka...
Wadau, miaka 5 ya kwanza awamu ya Rais Kikwete iko ukingoni. Kila kiongozi hupimwa na mazuri na mabaya yake ili aweze kuaminiwa na kupewa kipindi kingine cha uchaguzi. Viongozi wa Taifa letu tangu...
KWELI MWAKA WA UCHAGUZI UNA MAMBO YAKE.
JANA NIMEMSIKIA NAPE AKIELEZA NIA YAKE YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO HUKU AKIMPIGA VIJEMBE SHAMSA, NAPE ANAKUWA MWANACCM WA TATU (SHAMSA, ALFRED...
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo...
Kila mfanyabiashara atakiwa kutoa Sh. milioni 10
Lowassa aongoza kamati ya kutembeza ?bakuli?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea "kuwakamua fedha" wafanyabiashara na wanachama wake mkoani...
Kule Muheza mmojawapo wa watu wenye kutaka kugombea kule ni Balozi Andrew Daraja na Mbunge wa sasa Herbert Mntangi. Lakini siku chache zilizopita (kuanzia hii tarehe 19 Mei) kuna tetesi kuwa...
Kama kuna nchi ambayo raia wake hawaoni uhusiano wa uongozi na maisha ya kila siku basi ni TANZANIA.Hebu angalia masual na matukio haya ?SI KIPIMO TOSHA kuwa tunahitaji kiongozi mbadala kama si...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimeanza mkakati wa...
Wana jamii asubuhi hii wakati napitia magazeti, nimeona kichwa cha habari kikisema "kuelekea kampeni, Ikulu yazui mawaziri kwenda nje ya nchi...... Hii ikanishtua kidogo, nikasema ngoja niiweka...
Wadau na wapenda mabadiliko....natangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la UKONGA kwa tiketi ya CHADEMA.
Michango ya mawazo, ushauri na ki-mikakati inakaribisha!
Sihitaji michango ya pesa kwa...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa
Kauli ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa ya kutangaza kuipa kipaumbele Sheria ya Gharama za Uchaguzi katika...
HOFU ya kung'oana madarakani imegubika mkutano wa baraza kuu la ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) unaofanyika kesho, huku mwenyekiti wake, Hamad Yusuph Masauni, ambaye anadaiwa kuwa alighushi...
Wakubwa,
Mimi ni mtanzania ninayependa maendeleo ya nchi yangu na mtazamo chanya wa mambo. Naomba nitumie post hii kutoa wito kwenu mtakaobahatika kusoma post hii kushauri ni nini hasa uongozi...
Kauli ya CCM Kuhusu Kuanzishwa kwa Chama Kipya cha Upinzani – CCJ
Hivi karibuni vyombo vya habari vimekuwa vinaandika sana habari za kuanzishwa kwa Chama kipya cha upinzani kiitwacho Chama...
Nimekuwa nikifikiria jinsi mambo yanavyobadilika tukifika kwenye mwaka wa uchaguzi na hasa nikafikiria je ni kweli kwamba asilimia kubwa ya watanzania wanafaidika na kampeni au ndo wanaandaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.