Alipoingia madarakani mnamo mwaka 2006, Rais Jakaya Mrisho Kikwete alionekana dhahiri kuwa ndiye mkombozi wa wananchi aliyekuwa akitarajiwa. Alifanya ziara nyingi za kushtukiza, katika kile...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), Philip Marmo, kusema kwamba hakitapata usajili wa kudumu kabla ya uchaguzi huo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
Kama tulivyofanya siku za hivi karibuni kuwazomea mawaziri uchwara ambao wanakuja ktk vijiji na miji yetu eti kutueleza mafanikio ya serikali ya awamu ya nne.
Nawaomba wananchi na watanzania...
Rais JK alipokuwa anawahutubia wazee wa Dar es salaam (CCM) alisema wazi kuwa hajali kura za wafanyakazi yaani yuko tayari kukosa kura 350000 za wafanyakazi. Ni kauli iliyojaa kiburi, ubabe na...
Katika kupitia pitia mitandao mbali mbali kujaribu kubaini kwanini tumeshindwa kabisa kufanya mabadiliko kwa kuchagua viongozi wengine badala ya hawa waliotutawala kwa miaka yote hii bila kutupa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kuanza Mafunzo kwa Wagombea Ubunge Watarajiwa. Mafunzo hayo yanalenga kutoa Mafunzo muhimu kwa Wagombea hao ambayo yatakwenda sambamba na...
Mwongozo huu unalenga kuwaandaa vijana kuwa mstari wa mbele katika kufanikisha shughuli zote za uchaguzi mkuu ujao
Nia na madhumuni yakuwalenga vijana ni haya yafuatayo;
Ø Vijana...
Hivi watu wazima Tanzania wasiojua kusoma na kuandika wanapiga vipi kura? Maanake ni asilimia 69 tu ya watu wazima Tanzania wanajua kusoma na kuandika (World Resources Institute, 2007). Je, wale...
Raisi wangi muongo, mwingi wa ahadi zisizotekelezeka.
Alipoingia madarakani alianza kwa kulihutubia bunge, hotuba, kali iliyojaa msisimko. Tukajua tumepata raisi anayekuja na kulikomboa taifa...
JK alisema kuwa takrima haikwepeki ingawaje sheria ya uchaguzi inakataza na mahakama ilikwisha amua kuwa ni rushwa. Sasa kuanzia leo yuko huko Kilimanjaro, tutarajie vituko vingine huko na utani...
Hi wanaJF
Kuna uvumi ambao unaenea kwenye jamii kuwa "CCM ni wezi wa kura na hata watu wapigie kura vyama vingine lakini mara nyingi CCM hufanya kila namna anatangazwa mgombea wao kuwa mshindi"...
Katika hotuba aliyoitoa Rais Kikwete wakati akizungumza na wazee wa CCM Dar Es Salaam alisema hajali kama Wafananyakazi Zaidi ya 300,000 wa Serikali wakimnyima Kura, hata wasipompigia kura...
Huu ni wakati mwingine wa kutafakari umuhimu wa uongozi bora na viongozi wenye ubora unaotakiwa kutupeleka mbele. Hiki ni kipindi kingine cha kujiuliza maswali mengi kuhusu mustakabali wa Taifa...
Simaanishi kluwa kila mtu ni mfuasi wa CCM humu. lakini naomba kila mtu ajisikie huru kujibu.
Assume wewe ni Mjumbe wa NEC na majina mawili yameletwa kupigiwa kura kumpata mgombe uraisi kwa...
Wakati uandikishaji wa wapiga kura nchini umemaliza katika sehemu zote mbili za nchi yetu yaani Bara na visiwani kuna kitu ambacho bado sijapata ufumbuzi wake.Kwa kawaida katika uandikishaji wa...
Leo asubuhi 17 may 2010 nilitoka nyumbani kwangu kariakoo saa 12.10 kuelekea tabata Segerea kumpeleka mtoto wangu shule ya Tusiime iliyoko Sanene Segerea mara baada ya kuchwa na gari la shule...
Ni wiki ya pili sasa Mh.Shelukindo yuko jimboni Bumbuli akizungukia jimboni na kuongea na wananchi kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi n kukagua maendeleo katika maeneo.
Mh...
Kuna viongozi ambao kwa kweli kwa kuwaangalia angalau unaona wanaweza kuibadilisha nchi kama tu watakuwa na ujasiri wa kujitoa kwenye CCM, Kama alivyosema Rais Nyerere, Upinzani Halisi utatoka...
Taarifa Kuwa mujibu wa Clouds FM (Jahazi) leo 25.05.2010:
Kuna mwandikishaji wapiga kura katika eneo la Baruti shule ya msingi Kimara Baruti - Dar es salaam amekamatwa na anashikiliwa na polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.