Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hatimaye Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amefuta wazo la kuwania ubunge katika majimbo ya Geita, mkoani Mwanza na Kinondoni, jijini Dar es Salaam na kutangaza rasmi kwamba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifanya kazi za maendeleo ya jamii katika miji mikuwa na midogo; vijiji vikubwa na vidogo. Nimeona maeneo katika vijiji vidogo na vikubwa ambako mpaka leo kuna watoto wanakenda shule...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Source: Mwananchi - Jumanne 16 June 2010 Tuesday, 15 June 2010 10:15 Hussein Issa UINGEREZA imeendelea kuiweka serikali kwenye hali ngumu baada ya kuieleza kuwa tabia ya kutegemea misaada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kina mama wawili wanakuja nyumbani kwangu na kuniomba kadi ya CCM,wanaiangalia na kuandika namba zake wananirudishia hapo hapo wanaomba kitambulisho cha mpiga kura nacho wananakili baadhi ya mambo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete RAIS Jakaya Kikwete amewataka wakuu na wakurugenzi wa mikoa na wilaya kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa wa haki na huru. Aliwatakata kuhakikisha kuwa uchaguzi huo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete amewataka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na makatibu tawala nchini kuhakikisha wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 31 mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Latupa lawama kwa Jeshi la Polisi Kanisa Katoliki limesema kwamba limechoshwa kuzika waumini wake wanaouawa na majambazi ambao wamekuwa wakilitetemesha eneo la Kimara jijini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The CCM and their politicking would determine what would happen and who becomes what, they have their own basis of choosing who flies their flag but Tanzania is bigger than the CCM and options...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro anaetoka Maeneo ya Turiani Bw Marcussy Mgweno (pichani) Ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchio wa Jimbo la Uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Miaka yote tz tunajua wakati kama huu waganga wa kienyeji ndio wanatajirika kwa pesa toka wa wanasiasa....hivi ni lini tutafuta kabisa huu upupu unatuchafulia sifa taifa letu?....jamani mimi hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MWENZENU TAFSIRI YA HUU WIMBO JAMBO ULIKUWA UNALENGA AMANI LAKINI ULILKUWA NA MAANA ZAIDI YA HAPO HASA MAMBO YALIVYO SASA, VILIO VYA WATANZANIA VIMEJIDHIHIRISHA KWENYE MENGI NA KUKUMBUKA UTAWALA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekaa na kuanza kutafakari, ivi kauli mbiu za uchaguzi mwaka huu 2010 zitakuwaje Nikapata japo hizi mbili za CCJ na CCM CCJ (ikiwa watapata usajili): "Wamebana wameachia, mwanga mpya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, amewataka watumishi wa umma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
PROFESA LIPUMBA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS: Tokea kuanza kwa mfumo wa vyama vingi wapinzani wamekuwa wakisimamisha wagombea wale wale tu. Hii desturi ya kujaribu jaribu itaisha lini? Hivi huko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ya wapi maisha bora, Yale tuloahidiwa, Visiwani nako bara, hakika tuliambiwa, Mambo kuwa barabara, chama tukikichagua Wanaoona waseme, ya wapi Maisha Bora? Kauli mbiu ilikuwa, ikawekwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mtu kanieletea picha ifuatayo katika mojawpao ya mass mailing ninazopopokea kila siku. Sijuii picha yenyewe imapeigwa wapi ila nina uhakika kuwa ni Tanzania. Kuna tafisir nyingi sana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CCM Imejipanga Vizuri kwa Ushindi Hivi karibuni Chama chetu (CCM) kilikamilisha kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao, hali ambayo inatuhakikishia kuendelea kufanya vizuri katika uchaguzi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za urais Zanzibar utaanza Juni 21, mwaka huu, joto la mtu atakayemrithi Rais Amani Abeid Karume, limezidi kupanda. Kampeni za chinichini zinafanyika kwa kasi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
:mad2:Waheshimiwa nawaletea hapa chini hotuba ya Mhe. John Mrema aliyoisoma katika kikao cha Mkutano Mkuu wa CHADEMA jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro:mad2: HOTUBA YA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom