Bunge latibuka kwa homa ya uchaguzi,
LITAKUWA LA WIKI TANO, KUVUNJWA JULAI 16
Monday, 07 June 2010
Ramadhan Semtawa
UCHAGUZI mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, umegusa ratiba ya...
NA SULEIMAN JONGO
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Arusha, Daniel ole Porokwa, aliyetangaza nia ya kuwania ubunge Monduli katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu, amejiondoa kwenye...
NA JOSEPH BURRA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa, Juni 21 hadi Julai mosi, mwaka huu, itakuwa kipindi cha kuchukua na kurudisha fomu kwa wanaowania urais wa Zanzibar na Jamhuri ya...
Na Exuper Kachenje
05 June 2010
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)Rajabu Kiravu, akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja kati ya tume hiyo na viongozi wa vyama vya siasa Dar es...
Chama cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) kimeanza kuwafuatilia kwa karibu wanachama wanaojipigia kampeni za Urais wa Zanzibar kabla ya muda na wakithibitika kitawafutia uteuzi.
Hatua hiyo...
CCJ: Msajili kabadili namba za wanachama
Na Moshi Lusonzo
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa
Uongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ), umeibuka na kutoa madai ya kufanyiwa hujuma baada ya...
Kilango adaiwa kusambaza kadi feki za CCM Same
Saturday, 05 June 2010
Elias Msuya
MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango amedaiwa kusambaza...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa amesema chama hicho hakiwezi kushindwa katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ni sawa na mto Rufiji ambao hauwezi kukauka.
Alifafanua mto...
Kumbukumbu za kura za maoni zilizopigwa na watembeleaji katika mtandao huu:
Maoni ya habari za mtiririko:
Mpigie kura mshindi wa golden member award 2009/2010
Ally Saleh (53%, 55 Votes)...
Ni maswali mengi yayoelea vichwani mwa Watanzania kwa sasa, na bado majibu ni Kitendawili.
(a)Ni nani maarufu kati ya Dr Slaa na Kikwete kwa sasa?
(b) Je ni kweli Dr slaa anafahamika hadi huko...
WanaJF
Hakuna chanzo kinachosema Brazil Kama wenyewe wanataka shilling ngapi. 7 billion wanazosema ni za TFF na serikali ndo wanasema. Kuna habari kwamba mechi kati ya brazil na Tanzania ni...
Na Yassin Kayombo, Kibaha
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na kukubalika kwa wananchi na mikakati yake...
Maalim Seif ajitosa tena urais Zanzibar
SIKU moja baada ya mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia yake ya kugombea urais wa Muungano, katibu wake, Maalim Seif Sharif Hamad...
Tundu Lissu: CCM imeanza kucheza rafu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)kimekishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimeanza mkakati wa kununua shahada za kupigia kura za vijana...
Spika wa Bunge, Samuel Sitta.
Spika wa Bunge, Samuel Sitta, amewataka wananchi kuepuka kasumba ya kuchagua viongozi wenye uchu wa kutafuta maslahi binafsi...
MWINJILISTI wa Kanisa la Penuel Healing Ministry, Alphonce Temba amewataka wachungaji na maaskofu kuacha kushinikiza kubadilishwa kwa siku ya kupiga kura na badala yake kuwataka watumie siku...
Mtikila akusudia kuzuia Uchaguzi Mkuu
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Chritopher Mtikila, ameungana na azma ya Chama Cha Jamii (CCJ), kutangaza kusudio la kuiomba Mahakama Kuu...
Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi...
KATIKA kile kinachoonekana ni kujipanga vema na kujihami kwa maswali magumu wakati wa kampeni za uchaguzi, Ikulu imetoa waraka wa kuzuia mawaziri kusafiri nje na badala yake kuwaagiza kuzunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.