WABUNGE 143 kati ya 232 wanaotoka katika majimbo ya uchaguzi hawachaguliki, hivyo ni vigumu kurejea bungeni baada ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu, kwa mujibu wa utafiti...
Naomba wadau tuangalie vyanzo vya fedha vya CCM kwa ajili ya kununulia Kapelo, Pilau, T-shirt na kadhalika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na madhara yake, Mimi nimejaribu kuangalia vyanzo hivi...
Hivi sasa kuna harakati za uchaguzi katika chuo cha mzumbe lakini cha kujiuliza ya kuwa kwanini wasomi wetu tuliotarajia watoe mfano bora kwa kuchagua watu kwa sera na si nini wamewapa ...
Mimi si mwanasiasa na kwa bahati mbaya sana nimejikuta nikiichukia siasa kutokana na ulaghai na majigambo ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania. Nikiwa mkazi wa jimbo la kawe nimefikia mahali...
Katibu wa Kikwete aibuliwa jambo zito
*Adaiwa kuanza kampeni za ubunge kwa jina la Ikulu
*Akanusha kudai kuandaliwa Uwaziri Mkuu
WAKATI mjadala wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ukiwa...
Utafiti wa kura za maoni uliotangazwa na REDET umeonyesha kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo, CCM na Kikwete wangeshinda kwa zaidi ya asilimia 70.
Sources: Channel Ten, StarTV, TBC
Mbio za urais za Bilal zaanzia Ikulu Dar
Na Patricia Kimelemeta,
Mwananchi
WAZIRI kiongozi wa zamani wa Zanzibar, Dk Mohammed Ghalib Bilal ameweka bayana nia yake ya kuwania tena kiti cha...
Serikali yatangaza miradi mikubwa minne ya umeme.
Na Freddy Azzah, Mwananchi
WAKATI taifa linakabiliwa na upungufu mkubwa wa nishati ya umeme, serikali imetangaza mpango mkakati wa kutekeleza...
[SIZE="2"]Ndugu wana jamii forams
ni muhimu sana kujitolea ile kuweza kuleta mabadiliko ya kisiasa ili uchumi wetu uweze kuonguzwa na watu wenye mtizamo chanya hivyo basi wewe ukiwa ni...
Nimemsikia jana Bungeni Jaji Werema akikubali kwa lugha ya kisiasa kuwa sheria ya gharama za uchaguzi inabidi ifanyiwe marekebisho. Na katika vifungu alivyotaja ni kifungu cha 7 ambacho Slaa...
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 sikupiga kura kwani uchaguzi ulikuwa wa wazi. CUF na DP waliongelea hili mara moja tu na kukaa kimya pengine baada ya kupewa nakala ya daftari la wapiga kura. Katiba...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UGAWAJI WA MAJIMBO NA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU WA 2010
1.Ugawaji wa Majimbo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kwa mamlaka...
Waungwana,
Imekuwa ni ada sasa kwa wanasiasa na hasa katika Bunge letu tukufu kusisitiza aidha umuhimu wa kujipanga au kusema kuwa sasa wanajipanga au wamejipanga. Tatizo kubwa ni kuwa, toka...
Ukiwa na ndugu yako au mtu wako wa karibu ana nia ya kugombea uheshimiwa andika maumivu. Jana mamsap alipokea simu toka kwa kaka yake wa baba mkubwa akamwambia ana kadi yake. alipoulizwa kadi ya...
Na Mwantanga Ame
TUME ya Uchaguzi ZEC, imetangaza kuwa uchaguzi Mkuu wa Zanzibar utafanyika Oktoba 31 mwaka huu baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar...
Bunge la Tanzania ambalo linaanza mkutano wake wa 19 kesho mjini Dodoma limekubali kulirejesha suala hilo kwenye chombo cha kutunga sheria baada ya mbunge wa Karatu, Dk Willibrod Slaa kuwasilisha...
Bwana EL nakuomba mwaka huu 2010 uwe zamu yako kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na niko tayari kukupa kura yangu. Sio kwa sababu wewe ni msafi sana ila una unafuu zaidi ya kaka...
Date::2/18/2010
Mseto Zanzibar baada ya miezi 3
MUUNDO wa Serikali ya Mseto visiwani Zanzibar utajulikana katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.