Mbunge wa zamani kupitia CHADEMA, Ezekia Wenjeamesema si kosa kuwa na marafiki kutoka CCM, akisisitiza kwamba siasa hazipaswi kuvuruga mahusiano ya kibinadamu.
Aidha, alifananisha uongozi wa...
Ana haki ya kutafuta hivcho "cheo" , shida ni namna anavyokifuta hicho cheo/Uenyekiti bila kuangalia matokeo ya hicho anachokifanya kwa ustawi wa chama chake!
1. Amekipasua chama vipande...
Utangulizi
Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefunguka kuhusu safari yake ya kisiasa, mapambano ya kidemokrasia, na mwelekeo wa chama...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe.
Pia, Soma:
- Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za...
Wakuu
Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa;
"Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya...
Wakuu,
Hii hapa ni orodha ya CV za wabunge kutokana na Mkoa husika wa anapotokea Mbunge. Hapo utapata taariza zake kwa ufupi kuhusu wasifu wao kwa ujumla na mambo mbalimbali waliyofanya kwenye...
Katika madai yote dhidi ya Rais Magufuli, hili dai la huyu mwandishi Eric Kabdendera, kuwa Rais Magufuli alimuua Ben Saanane kwa kumpiga risasi ya kichwa hapo Ikulu [nasadiki ni Ikulu ya Dar], ni...
Kupitia maandishi ya mwana CCM bwana Hamis kigwangalla, napata mashaka makubwa sana. Uwenda wewe ndiye mtu ambaye unawauza viongozi wenzio kwa wenye mamlaka... !
Tumeanza kuwa ma-bro sasa, Vijana...
..ucheshi na mizaha ya Tundu Lissu humfanya muandishi kujisikia huru kuuliza maswali.
..ukiacha hilo hakuna muandishi ambaye hutoka bila kujifunza jambo jipya toka kwa Tundu Lissu.
..Clouds...
Wanabodi,
Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla
Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu...
Zitto kabwe na Dkt. Slaa ni moja kati ya wanasiasa ambao hadhi zao zilipotea kwa sababu ya Propaganda ndani ya CHADEMA ambazo zinaweza kuwa za kweli au uongo.
Baada ya kutumia zaidi ya miaka 15...
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu...
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.
Original post:
"Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. NaaminiMkono...
Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea...
Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika
Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema kwa sasa chama chao kimepoteza Imani kwa Wananchi
Lissu amesema ili Chadema iaminike ppendwe na kuthaminiwa tena na Wananchi ni Lazima ipate...
CHADEMA imeuonyesha ulimwengu mzima jinsi ilivyo chama cha kitoto.
Panzi wawili, Mbowe na Lissu wako busy kutukanana, kusutana, na kurushiana vijembe hadharani katika kuwania uenyekiti wa chama...
Wanabodi,
Kwanza naunga mkono marekebisho ya sheria hizi kufanyika, kwa sababu yanafanyika kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na maslahi ya Watanzania badala ya maslahi ya wawekezaji, japo...