Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu amesema mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta uongozi maana yake anatarajia kuiba baada ya kupata uongozi huo.
Hayo ameyazungumza Machi 8, 2025...
Mbunge Kanyasu Aeleza Mafanikio na Changamoto za Maendeleo Jimboni Geita
Mbunge wa Jimbo la Geita, Costantine Kanyasu, amesema zaidi ya zahanati 40 zimejengwa katika jimbo hilo katika kipindi cha...
Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko...
Wakuu,
Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA.
Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA...
Wakuu,
Tanzania inapanga kutekeleza mradi wa nishati wenye thamani ya dola milioni 300, ambao utawezesha nchi hiyo kuuza umeme kwa Kenya ndani ya miaka miwili ijayo. Mradi huo unafadhiliwa na...
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw
Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa...
Tanzania yangu kuna wakati tunafanya mambo kama nchi inaisha kesho! Kwa hakika neno la Gerson na Rais Samia kuna tofuati kubwa kabsa.
Mungu ibariki Tanzania! Usiwabariki Viongozi wake!
Wakuu pesa tuliyotumia kama taifa kusomesha wasomi imeleta laana kwa taifa. Umbali wa kutoa umeme maeneo ya kusini imeonekena ni kazi Bure kwani katika hatua ya kusafirisha umeme kutoka Mtera ama...
Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo...
Ufafanuzi
Kwanini Tanzania inapanga kununua umeme
kutoka nje ya nchi kwa ajili ya Kanda ya
Kaskazini.
1. Umeme uliopo katika Gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa
Kusini Mashariki na hivyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu tukufu chini ya uongozi mahili,imara ,madhubuti ,shupavu na wenye kuleta matumaini kwa watu wa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli...
Wote tunajua bwawa hili linatumia maji ya mto/mito kama yalivyo mabwawa mengine tuliyo nayo hapa nchini.
Na kutokana na tatizo la mvua kwenye mabwawa yaliyopo tumekua tukiambiwa uzalishaji umeme...
Wakuu,
BAWACHA wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Mlimani City Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa ni Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu...
Wakuu,
Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo...
Tumealikwa hapa viwanja vya Stendi ya Mabasi Namanyere. Asilimia 75 ya hotuba yako kwenye siku ya Wanawake Duniani unaongelea Nia yako ya kumtoa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mh. AIDA KENANI...
Mara tuna umeme mpaka wa kuuza nje sasa Raisi WATu wazuri nchi na serikali hiyo hiyo inasema watanunua umeme🤦🏾♂️! Hivi tumekuwa wajinga kiasi gani?
Kuna mawili hapa inawezekana hatuna umeme wa...
Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa!
Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia!
Kwa hivi karibuni...