Fatuma Iddi (mama wa watoto wanne) mkazi wa Magugu Mapea, Babati amerejeshewa tabasamu na Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi baada ya kupewa mtaji wa kufanya biashara.
Fatuma alivunjiwa...
Wakuu
Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa...
Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Sichalwe amewataka wananchi kutokushawishika na watu wanaotoa rushwa ikiwemo kuwanunulia pombe ili wakawapigie kura, bali wanapaswa kupima maendeleo...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dalili zote kuwa hakipo tayari kwa mabadiliko ya kimfumo ya uchaguzi hivyo kwa sasa wanahitaji kudai...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo.
Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya...
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, ameupa muda wa siku Saba Uongozi wa Chama cha Tanzania Labour Part (TLP), kutoa ufafanuzi wa madai ya ukiukwaji wa Katiba ,Kanuni za Chama hicho kikongwe cha...
"Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki...
Wakuu salam,
Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa...
VIDEO:
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ally Hapi, ameviomba vyombo vya Dola kuwachukulia hatua watu wote wanaotaka kuharibu uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka...
Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
Wakuu,
Akiwa anahojiwa katika kipindi cha Power Breakfast Clouds Ester Bulaya amesema:
"Mimi ni CHADEMA, (kuhusu kufukuzwa) hayo ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana sababu sisi tumesema ni...
Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa kama wabunge 19 waliofukuzwa chama wanataka kurejea waje wakieleze chama waliingiaje bungeni.
Lissu ametoa kauli hiyo wakati wa...
Inawezekana kuna watu bado hawajaelewa vizuri maana ya No Reforms No election.
Maana yake ni kwamba:-
1. Hakuna atakayeruhusiwa kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi kama Katiba na Sheria bora za...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani...
Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu...
Wakuu,
Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au?
====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.