Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Siku chache baada ya kufutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana sababu ya kupinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa CCM, Mchungaji Dkt.Godfrey Malisa amedai...
16 Reactions
158 Replies
5K Views
Tundu Lissu kWa sasa ni mlemavu, hiyo no reform no election ni mkakati wake ili tupambane na dola tuumizwe tuwe kana yeye, mwenzetu kila baada ya muda anaenda kucheki afya ulaya, mm hata nauli ya...
3 Reactions
28 Replies
588 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili...
6 Reactions
12 Replies
879 Views
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi. Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma...
4 Reactions
29 Replies
480 Views
Ndugu Othman Masoud Othman Assalam aleikum. Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi...
8 Reactions
14 Replies
373 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali...
2 Reactions
13 Replies
430 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
"Ninayo kila sababu ya kuishukuru serikali kwa namna inavyowatumikia wananchi wake. Ndani ya miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jimbo la Buchosa peke yake mimi kama mbunge...
0 Reactions
3 Replies
112 Views
Wakuu Mnakumbuka sakata la CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee? Mapya yaibuka huko, panga limepita kwenye Chama == Katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, kumekuwa na sintofahamu...
3 Reactions
22 Replies
804 Views
"Kama Mbwai na Iwe Mbwai." Ndiyo kauli anayoitumia Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) taifa, Shaban Itutu akielezea msimamo wa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu...
2 Reactions
18 Replies
485 Views
Hellow Tanzania. Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu...
8 Reactions
110 Replies
1K Views
Wakuu Hii ni aibu kubwa kwa vijana wa taifa hili. Mpaka rais anafurahia uchawa na kuona ni kitu cha kawaida tu! === Huu uchawa sasa umepitiliza, tazama mchekeshaji maarufu mzee Shayo akipiga...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Adai yeye ni muhudhuriaji mzuri wa baraza la madiwani hata kama kutakuwa na vikao vya bunge yeye lazima ataenda kwenye vikao vya madiwani na wale wabunge wanaolalamika huwa hawaendi kwenye vikao...
0 Reactions
5 Replies
226 Views
Wakuu, Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akihojiwa kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoruka hewani kupitia E-FM amenukuliwa akisema: “Uchaguzi hauwezi kukosekana kwa sababu ya kauli...
9 Reactions
73 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election'...
2 Reactions
3 Replies
250 Views
Wakuu Hivi wananchi wanarogwa na nani? kwanini haya mambo hufanyika kipindi cha wagombea wakiwa wanataka kurudi tena Bungeni na hatustukii hili kama ni kulaghaiwa tu! == Washiriki wa shindano...
0 Reactions
5 Replies
259 Views
Wananchi wa Jiji la Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha, Katibu Tawala wa Tanga, Dalmia Mikaya na Mbunge wa Tanga...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Hasara moja wapo kwa Chadema kisiasa endapo itang'ang'ana agenda zake zizozo na tija kama vile hii ya 'No reform no election', migomo na maandamano ni pamoja na kupoteza uelekeo wa misingi na...
6 Reactions
87 Replies
740 Views
Back
Top Bottom