Swali la John Marwa: Wabunge mmefanya kwa nafasi gani kuiwajibisha serikali ikiwa mpo wa chama kimoja bila upinzani
Eric Shigongo: "Mimi nimeenda bungeni nikijua kazi zangu ni tatu ya kwanza...
Rais Samia afunguka ya Moyoni kuhusu kauli za Wahafidhina wa mfumo dume ambao hawakuwa na imani naye wakati anachukua nafasi ya Urais na waliothubutu kusema "Tuna Rais wakuambiwa afanye na mwenye...
Wakuu,
Jana nilikuwa kwenye ile page ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Mpaka sasa hii tume imeshapita Zanzibar, Arusha, Pwani, Songwe, Ruvuma na Rukwa na kuanzia Machi 1 wataanza kuandikisha wapiga...
Je,
huwa wanajua na wanafahamu kabisa kwamba hawaaminiki, hawaelewekagi wala hawakubaliki mbele ya wananchi?
Nini kifanyike kuondoa unyonge huo wa wanachama wa chadema hasa wakiwa mitaani bila...
Sasa kila kitu mnaweka picha ya mama, as if watu hawamjui Rais kwa sura hii ni too much, but anyway mkifikia kwenye magari msinisahau.
========
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Japhar Kubecha Japhari...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa...
Katika hali iliyotafsiriwa kama kuhakikisha Mahusiano mazuri na Makundi yote ya Kijamii, Chadema imekutana na Mashehe Jijini Arusha na kufanya nao mazungumzo, Yaliyofuatiwa na Dua kabambe.
Zaidi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Bara John Heche amesema chama hicho kina kila hoja za kushindana na chama cha mapinduzi na watazitumia pindi wakianza kufanya ziara na...
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna juhudi za kuhamisha mwelekeo kutoka kwenye kampeni ya 'No Reforms, No Election'. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Mnyika amesisitiza kuwa...
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania...
Wakuu,
Tunaposema kuwa CCM inawaogopa zaidi wazungu kuliko wananchi na vyama upinzani tunamaanisha mambo kama haya.
Swali la kujiuliza, ni kwanini Wasira "anaihakikishia" Marekani Uchaguzi kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche aivaa vikali Serikali ya CCM kwa kushindwa kutoa uchaguzi ulio huru na wa haki kwa kila chama badala yake imejimilikisha uchaguzi huo na kuona wengine...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA
Akitolea...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama.
Soma: John...
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi.
Kwanza lini wamewahi...
Wakuu naandika haya kuwakumbusha wapinzani kitu muhimu zaidi ambacho nmekiona, ambacho either chadema ambacho ni chama kikuu cha upinzani mnakiona pia na mnakifanyia kazi au mnakidharau.
In short...
Wakuu
Inakuaje Mkutano Mkuu wa CCM unaogopeka kiasi hiki mapaka Mwanachama huwezi kuhoji mamlaka ya Mkutano huo hata kukiwa na Uovu ndani yake.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
I. USULI
Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.