Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani.
Hii inanifanya...
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
CCM wako "so desperate" kuhakikisha kuwa mgombea Urais wao John Pombe Magufuli anatetea kiti chake.
CCM wanatambua fika kuwa, kupitia sanduku la kura (Ballot Box), Magufuli hawezi kushinda iwe...
Wasalaam wana jamvi!
Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao...
Kulingana na uhalisia wa mambo, sikuamini kama kuna hata chembe ya haki na nguvu ya kura yangu. Ila kama na wao wameogopa kiasi hiki, basi na mimi nitapiga kura, wacha iibiwe, wacha iharibiwe...
Magufuli akiwa Arusha
Amesema ameguswa sana kutokana na mapokezi ya aina yake tangu alipokuwa akiingia mjini Arusha ameona majani ya masale yameinuliwa juu na hata hapo mkutanoni yapo, amesema...
Jaji Msataafu Thomas Mihayo ambaye ni Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amesema kuwa mpiga kura aliyehama sehemu aliyojiandikisha kupiga kura atatakiwa kusafiri kwa muda ili apate haki ya...
Moja kwa moja hojani,
Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+
Na kikawaida, ili uwe mwanachama wa Chama...
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania.
Aidha...
Jirani zetu wa Kenya jana wakiongozwa na Rais Uhuru Mwigai Kenyatta wamezindua report yao ya BBI(Building Bridges Initiative)kwa kusudi la kuwaunganisha Wakenya na kuondoa Ubaguzi, ukabila na...
Binafsi nilipoandika uzi wa Tanzania Kwanza watu walinishambulia na katika kunishambulia waliweka maneno HAKI na AMANI.
Hivi nini kitangulie, haki au amani? Kwa sababu penye vurugu hata hiyo haki...
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa...
RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti...
Dah,
Muda huu Saa Nane na Nusu usiku ndo naingia home. Nimetoka Stesheni saa kumi na moja jioni, gari ilikua nusu tank but kufika Victoria imeisha mafuta Sababu ya Foleni. Nimeingia hasara...
Musoma. Baadhi ya wakazi wa kata ya Bweri manispaa ya Musoma wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha kupiga kura na kusababisha watembee umbali mrefu kwenda vituo...
Kuondoa vyama tawala madarakani ni shughuli pevu hasa kwa nchi za Afrika. Vimekumpatia mfumo usio wa usawa na haki. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi viko chini yake. Uaoma kwa undani kwa nini na...
Akizungumza kutoka Singida Mgombea huyo wa Urais wa CHADEMA, Mhe. Lissu amefichua njama za kishamba za TCRA na idara ya habari maelezo za kushughulikia vyombo vya habari vinavyoripoti habari zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.