Ndugu zangu mimi ni CCM tangu udogo wangu na mwenye kadi hai kabisa nikiwa na maana kadi yangu nailipia kila mwaka.Nilijiunga CCM rasmi kwa maana yakuchukua kadi ya uanachama 2019 mara baada...
Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri.
Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kupiga kura leo.
Amesema leo ni siku muhimu kwa Taifa hivyo wananchi...
UCHAGUZI 2020: WAGOMBEA WANAWAKE KATIKA NAFASI YA URAIS, UDIWANI NA UBUNGE
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Kaijage amesema Wagombea wanawake katika kiti cha Rais ni 2 kati ya 15...
Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu.
Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu.
Pamoja na...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha...
Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea...
Kwenu Wana badi;
Ikiwa Ni mapema kabisa mwa siku maalumu ya Leo 28/10/2020 ambapo Hatma ya Amani ya taifa inaenda kujulikana Baadaye ningependa kuwakumbusha haya machache Wagombea wote wa...
Waheshimiwa:-
Dkt. John Pombe Magufuli
Adv Tundu Antipas Lissu
Maalim Seif Sharif Hamadi
Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na
Wengine - Salaam za 28/10/2020!!!
Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi...
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya...
Nimemsikiliza Godbless Lema akihojiwa na Dw kuwa kuna kundi la vijana 200 wamepelekwa Arusha ili wakakipigie kura CCM. Anadai amewaona. Sasa kama mgombea ubunge umeona tukio kama hili kwa nini...
Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28...
Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam.
Niliamua kujivinjari maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.