Kuna baadhi ya watu humu JF wamekuwa wakihoji idadi ya wapiga kura kuwa milioni 29 mwaka huu na kueneza dhana potofu ya kuwepo kwa wapiga kura hewa. Si kweli hata kidogo.
Idadi ya wapiga kura...
Napenda niwataarifu Watanzania kama bado unajiuliza kura yako ya Rais umpe nani basi Magufuli ni chaguo sahihi kabisa kwa kweli miaka hii mitano ametuongoza vzuri kimaendeleo zaid naamini hii...
Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye...
Habari wakuu,
Awali ya yote nawahimiza watanzania kesho tujitokeze kwa wingi tukapige kura za kimbunga ata mwizi wa kura ashindwe namna ya kuiba.
Tangu kampeni za urais zilipozinduliwa mpaka leo...
Kadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, twitter na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona...
Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na...
Kufuatia kubandikwa kwa majina ya Wapiga kura kwenye Vituo vya kupigia kura, imebainika kuna Wapiga kura hewa(Ghost voters) na Vituo hewa vya kupigia Kura(Ghost Voters stations). Hii ni katika...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwa Nachingwea Mkoani Lindi amesema watakaoleta maendeleo ni Viongozi wa CCM.
Amesema, "Tumeanza kuona watu wanakuja...
Ni maoni yangu kuelekea hitimisho la Kampeni leo 28/10/2020.
Lengo kuu ni ili Wananchi wawasikie kwa lugha moja katika kuhitimisha na kesho wafanye maamuzi sahihi.
Naamini leo hakuna pumba au...
Salama wana JF?
Awali ya yote tujipe pole na pongezi ya kuyashugulikia maisha kwasababu bila ya hivyo basi tambua mkono hauta enda kinywani.
maada kuu pasipo ya kupoteza mda nadhani wote...
Nadhani walibanwa mno, na ukiangalia uongozi wao utajua kwanini? Hata nyuso za watangazaji, ilikua unaona kabisa hawana raha kushindwa kutangaza taarifa za upinzani.
Ilikua unaona kabisa nini...
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono...
October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana...
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli imekuwa ya machungu na kilio kwa Watanzania wengi. Maisha ya mwananchi wa nchi iliyowekwa kwenye kundi la uchumi wa kati yamezidi kuwa ya...
Mbeya
Majimbo ya mbarali, Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela
Kigoma
Majimbo karibia yote ni ACT Wazalendo na CHADEMA
Dar es Salaam
Majimbo yote kuna upinzani
Zanzibar
Mikoa yote ni...
Wewe unaye shinda humu, unashinda Facebook, Twitter na Instagram kushabikia CCM ilihali Ndugu zako hasa wazazi wako kule kijijini wanateseka kwa umasikini unao sababishwa na CCM.
Mfumo wa Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.