Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake...
8 Reactions
79 Replies
8K Views
Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi. Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tangu asubuhi jimbo la Musoma Mjini limetaliwa na kelele za Mabomu ya shabaha yanayofanywa na FFU mkoa wa Mara maeneo ya Kamnyonge/ Nyamatare. Mida ya jioni nimeshuhudia askari wengi wa FFU...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
Kesho ni siku muhimu sana kwa vyama miamba wa nchi hii. Ni siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020. Mpaka leo hatuwezi kusema nani atashinda au nani atashindwa. Hali hiyo inathibitisha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu yangu mwanaJamiiForums tuwe na kumbu kumbu kua 2015 wakati Rais Magufuli anaomba kura aliahidi mambo mazuri na makubwa sana lakini mpaka sasa anatimiza ungwe ya miaka mitano hajatumia yote...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanakawe wote kwa umoja wetu bila kujadi itikadi zetu tujitokeze kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tuendelee na sauti adimu ya Zege. Tunahitaji mtu wa kwenda kutusemea na siyo mtu wa kwenda kupiga...
16 Reactions
50 Replies
5K Views
Ukijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli? Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais...
22 Reactions
55 Replies
5K Views
Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti...
75 Reactions
163 Replies
13K Views
MAMBO 20 MUHIMU WAKATI WA KUPIGA KURA, KUHESABU, NA KUTANGAZA MATOKEO. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. 1. Sifa za mpiga kura ni mbili, moja hakikisha umo kwenye daftari la kudumu la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari Tanzania! Kura & Uhusika: Hii ni kwako wewe ndugu mtanzania na kwa wale wote wanaohusika na upigaji kura. Nakuomba kwa kukuwekea msisitizo ewe mpiga kura na Mtanzania tafadhali sana...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
Habari za jioni hii, mimi frustration nimeapishwa kuwa wakala wa ACT Wazalendo katika Kata yangu. Changamoto kubwa ilikuwa ni kutojipanga kwa chama cha CHADEMA na ACT Wazalendo. Kwenye Kata yangu...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu. Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimesoma mgombea urais wa JMT kupitia Chama cha SAU akisema akiwa Rais atamteua Dkt. Magufuli kuwa Waziri Mkuu. Yaani huyu mgombea Urais hajui kuwa Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakati zimebaki siku mbili kupiga kura ninachukua fursa hii kuomba Watanzania wenzangu kujitokeza kwa wingi kwenda kutimiza wajibu wetu wa kitaifa. Tumesikia ajenda na ahadi za wagombea mbalimbali...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
KWA VYOMBO VYA ULINZI Askofu Mkuu Oscar Romero wa El-Salvador ana ujumbe kwa vyombo vya ulinzi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu tarehe 28/10/2020. Baba Mtakatifu Papa Francis alimtangaza kuwa Mtakatifu...
53 Reactions
135 Replies
10K Views
CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa. Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu. Kuna mambo nimeona hapa...
8 Reactions
109 Replies
6K Views
Back
Top Bottom