"Sisi tumekuwa wakali kutokana na aina ya wagombea tulionao kwa sasa, ndiyo wamesababisha watu waone mbona adhabu zimekuwa nyingi na kamati imekuwa kali hivi" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya...
Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani.
Rais Magufuli...
Watanzania wote waliotimiza vigezo kwa mujibu wa sheria, wanatarajia kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Hatua hii muhimu imefikiwa...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Sina hakika kama ni maombi ya Watanzania au ni mapenzi ya Mungu tu, bali kikubwa kuliko yote ni kwamba mwisho wa CCM umefika rasmi baada ya wananchi kuikataa...
Jumatano ya tarehe 28 Oktoba Watanzania tuna nafasi ambayo binafsi naamini kwa wengi wetu wa kizazi hiku hatutapata tena. Ni nafasi ya mara moja katika maisha ya wengi wetu ya kufanya maamuzi sio...
Wakati Watanzania wakijiandaa kushiriki Uchaguzi Mkuu kesho Oktoba 28, 2020, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres ametoa wito mchakato huo ufanyike kwa amani
Guterres amehimiza Viongozi wa Vyama...
Wiki ijayo tarehe 28/10 watanzania wote tunaenda kupiga kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani
Jambo moja ambalo kila mmoja anapaswa alitambue ni kwamba kura yako ni siri yako.
Maana yake ni...
Timu ya watazamaji kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yenye waangalizi 59 imewasili nchini kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
Nini hatima ya uchaguzi wa mwaka huu? Mwaka 2015 CHADEMA walikuwa wakisema wakiingia madarakani, watafufua Shirika la ATC, watafanya shule bure, n.k. Magufuli ameyafanya hayo, na zaidi. Sasa...
Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu...
Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.
Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa...
Wanawake wa Kawe wameapa kulinda heshima ya Kawe kwa kutoruhusu hilo jimbo kuangukia mikononi mwa tapeli wa kimataifa aliyejivika ngozi ya udini. Wamemhakikishia Mwenyekiti wao wa Taifa, Mhe...
Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza.
Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani...
Hakuna sababu ya kuendelea kulia lia na ugumu wa maisha. Tuchague Tundu Lissu kwa kishindo upande wa Bara na Maalim Seif upande wa Visiwani. Tunayo hatima ya Tanzania mpya inayojali haki, uhuru na...
Viongozi wa dini mnayo nafasi yakukemea leo kwa sababu msipowakemea waumini wenu leo mkakaa kimya kesho watachafuka awataweza kuwafuata kutubu na awatataka kukutanisha uso wao na wenu kwa ajili ya...
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au...
Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia...
Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa...
Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.