Wakuu Habari zenu?
Kuna mwaka nilisimamia uchaguzi mkuu wa ngazi ya raisi, ubunge na udiwani mkoa fulani,nilichokiona nikaona vizuri chadema mkafanyia kazi kwenye mawakala wenu ni vitu vidogo ila...
Kwa wanao fuatilia sera za wagombea wa Urais hasa Lissu na Magufuli? Nani anajenga hoja za mashiko kuhusu Uchumi wa hii nchi?
Kiujumla tunataka kusogea mbele, tuone watu wanasafiri toka sehemu...
Na V. M
[emoji736]Hakika nimejionea Mwaka 2020- Kumeendelea kuwa na Ushiriki mzuri wa Wanawake katika mchakato Mzima wa Uchaguzi; [emoji994]
Nchini Tanzania kumekuwa na hamasa na muamko mkubwa...
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-
1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru...
MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2.
Kubenea ametoa kauli hiyo leo...
Akiwa Wilayani Chemba-Dodoma, akielekea makao makuu ya nchi Dodoma, mgombea Urais wa CCM amesimama na kuhutubia hadhira ya wana-Chemba. Lakini katika jambo la kushangaza ambalo pengine NEC...
Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa...
Wana JF wenzangu kilele cha kampeni kina hitimishwa kesho na siku ya kukata maneno ni Juma 5. Kama ulipanda viazi usitarajie kuna Choroko. Hii iwafikie wabunge WOTE na madiwani pamoja na Urais...
Baada ya kipindi cha kampeini kuisha yani kesho tarehe 27/10/2020 ni vyema sasa waandishi wa habari , wataalam wa mambo ya siasa , wadau wa maendeleo ni vyema sasa kuandaa kipindi maalum cha...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli amemtuma aje amuombee kura kwenye...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul...
Hali mbaya CCM Buganguzi, Mkuu wa wilaya apambana kurudisha Kata kutoka Chadema Agomewa. Nisehemu Alikozaliwa!
Wana JF,
Ukisikia derby kali ni kata ya Buganguzi iliyoseheni watu wanaojielewa...
Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu!
I am a realist and I wish to remain so!
Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia!
Our house isn't in orderWe can't...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba 28, 2020, ili kutoa nafasi kwa wananchi kwenda kupiga kura kumchagua Rais...
Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya Uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM.
NDANI YA MIAKA 5
1. Kuua soko la mazao ya biashara kama vile korosho...
Wiki hii ni muhimu sana kwako.
Ni wiki ya wananchi kuamua kuendelea kuhangaika na matibabu kwa kukosa pesa au kupata bima ya afya kwa wote.
Ni wiki ya Mwanafunzi kuamua kuendelea kulipa riba ya...
Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Tanzania, atabadili mfumo wa elimu kwa kuhakikisha zinajengwa shule mpya, vyoo pamoja na nyumba za walimu...
Pamoja na ukweli kuwa uchaguzi huu ni wa Rais, Wabunge na Madiwani ila ni ukweli usiokificho uchaguzi huu umehamia kwa Dr Magufuli Vs T. Lissu, umerudi kwa Maalim Sief VS Dr Mwinyi.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.