Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kufanya fujo, kujeruhi na kusabababisha uharibifu wa mali,wakati msafara wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mgombea urais kupitia NCCR-Mageuzi, Jeremiah Maganja, ameahidi kubadilisha sheria kandamizi kwa jamii endapo atashinda uchaguzi huu na kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitoa ahadi...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Uchaguzi ni mahesabu na hizo hesabu ndiyo ushindi wa Chama chochote kwenye uchaguzi. Hesabu na namba hazidanganyi. Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jumla ya Watanzania wote...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe...
43 Reactions
242 Replies
20K Views
UCHAMBUZI WANGU KUELEKEA TAMATI YA KAMPENI KWA VYAMA VIKUU VITATU, CCM, CHADEMA NA ACT WAZALENDO Leo 20:20hrs 25/10/2020 Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wakuu Watatu,Ndugu John...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi kama raia mwema natambua zimebaki siku 3 kufanya uchaguzi ili kupata viongozi wetu ninaombea taifa langu livuke kikazwo hiki. Aidha ninatoa wito ufuatao: 1. Kama alivyokwisha ahidi Rais wetu...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Mtu ye yote anayehangaika na mikakati ya kuweka wapiga kura hewa, kuandaa watoto na wasio na sifa za kupiga kura ili wapige kura, kuiba kura, kuongeza vituo hewa na kuongeza kura za ziada kwenye...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari ya Jumapili mabibi na mabwana, niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari! Kwanza nashukuru Mungu kwa uhai kwangu kwako pia mpaka unasoma ujumbe huu naamini upo vzr, pia niwape pole kwa...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Dodoma. Mgombea urais wa Chama cha Sauti ya Umma (Sau), Muttamwega Mgaywa amewataka Mawaziri watatu wa serikali ya Rais John Magufuli kwamba hatawaacha pindi akiingia Ikulu. Mbali na mawaziri hao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro amesema majeshi yote yameungana na tayari yamesambazwa kwenye mikoa mbali mbali ikiwemo Arusha ili kusimamia uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano ijayo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo. Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilimsikia Rais Magufuli, katika mkutano wake wa kampeni hapo Jana, huko Bagamoyo mkoani Pwani, akiwaahidi wafanyakazi kuwa atawaongeza mishahara yao wafanyakazi hao, iwapo watamchagua tena katika...
91 Reactions
253 Replies
20K Views
Hii kauli ameitoa leo 25/10/2020 kwenye kampeni ikiwa ni miaka mitano toka atamke kauli Kama hii kwa wafanyakazi wakati akipiga kampeni mwaka 2015. Je, kauli hii ya Sasa inatekelezeka? Miradi...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa...
11 Reactions
161 Replies
10K Views
Wapwa Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo...
37 Reactions
134 Replies
10K Views
Wananchi tumemuona ndani ya hii miaka hii 5 ya utawala wake kuwa ni mtawala ambaye hawasikilizi wananchi wake wanataka nini na analoamua yeye ndiyo huwa. Tujikumbushe maneno ambayo amewahi...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela amewaonya raia wote wanaotaka kulinda kura zao baada ya zoezi la kupiga kura. Brg. Mwangela amenukuliwa akisema "Unapokwenda kulinda kura aga kabisa...
19 Reactions
84 Replies
7K Views
Ndugu zangu,watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna kijana anaitwa Salum Mwalimu. Huyu Salum anafanya maangamizi kwa CCM balaa. Anajua kuongea, ana hoja, anasikilizwa, anachambua. Kwa kifupi...
66 Reactions
79 Replies
8K Views
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom