Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni
Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja...
Nimezunguka kila Kona ya nchi hii, nimeona mengi, nimesikia mengi, nimeambiwa mengi, nimefundisha baadhi ambayo nilijaliwa kufundisha. Ndugu zangu Wana Songea, Sasa ni wakati wa final urgument...
Kwa upande wangu mimi ni kuzuia mambo ya siasa mikutano ya hadhara na kukubali kuwapokea mashehe wa uamsho kutoka Zanzibar waletwe huku Tanganyika, hivi mheshimiwa hawezi kujua mambo ya uwongo na...
Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa...
Ni kweli kama walivyosema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni wa kihistoria.Haijawahi kutokea huko nyuma, kwa uchaguzi mkuu wa nchi yetu kuingiliwa ki wazi wazi na watu wa nchi za nje wa aina ya akina...
Kwa tathmini ya harakaharaka inaonesha uchaguzi mwaka huu ni mgumu sana kwa CCM. Siyo kwa sababu CCM haijafanya kitu , la , ila ni kwa sababu raia wa nchi hii wameichoka kabisa. Ndiyo maana...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Magufuli amesema kwa miaka mitano ijayo wakipata ridhaa kutoka kwa wananchi watakata bima ya afya kwa kila Mwananchi...
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu.
Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia...
TUCHAGUENI OKTOBA 28 TUWEKEZE KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"BI.HAMIDA ABDDALLH" MGOMBEA MWENZA CUF
KILWA KUSINI-KIVINJE
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote!
Haki ya Elimu...
21/10/2020
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania,
Kivukoni, Ilala CBD, 1 Shabaani Robert Str.,
11101 Dar Es Salaam, S. L. P 63010, Tanzania.
info@orpp.go.tz
Mheshimiwa Msajili,
YAH: UKIUKWAJI...
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, ameahidi kuikarabati barabara ya Minjingu – Kakoi kwa Tsh Milioni 100
Kwa mujibu wa meneja wa TANROADS alisema...
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA...
Inamaana mabalozi wengine hawafai? Mbona kwingine hakutumia majina ya mabolozi kufanya kampeni? Huyu mzee Magufuli hali mbaya sana.
Kwahio ukipewa uwaziri, au uongozi wowote ni fadhila. Wananchi...
Nawaonea huruma wapuuzi wanaohangaika wakijitahidi kuzuia Tsunami kwa mikono, Mh. Tundu Antiphas Lissu hamtamweza, Ni YEYE mpende msipende na ole wenu msipochukua tahadhari, mtasombwa na maji...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo...
Mara zote ukitaka mabadiliko lazima uonyeshe uwezo mkubwa na wakuaminika bila kupingwa na zaidi ya asilimia hamsini ya watu unaoishi nao. Binafsi napenda sana kusikia mawazo ya watu hasa kuwapatia...
Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo...
Kila mara nakutana tu na 'Picha' zao wakiwa 'Wamekumbatiana' na naona kama vile Maalim Seif Sharrif Hamad ndiyo anapenda mno 'Kumkumbatia' Tundu Lissu ambaye nae pia huwa anaonyesha kabisa...
Baada ya ufunguzi wa kampeni kwenye majukwaa mawili matatu mke wa Tundu Antipas Lissu alionekana kwenye majukwaa akilia kwa uchungu kuhusu madhira aliyotendewa mmewe. Lakini ghafla CCM...
PROF. LIPUMBA KUFUNGA KAMPENI OKTOBA 27 DAR, VIWANJA VYA MWEMBE YANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatarajia kufunga rasmi kampeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.